Nataka kutoka familia ya Nyerere

Nataka kutoka familia ya Nyerere

Wamefikaje fikaje hapo huwenda they wasn't treats him fair ikamtengenezea Sonona na hatimaye Amejikuta amekuwa hivi Kuna wakati jamii Huwa inawatengeneza monsters wao wenyewe Kwa kuwafanyia ubaya watu mwisho wa siku mtu anachagua kuwa Terrible kutokana na vile anavyo tendwa negative na jamii yake , so inaweza kuwa imemkuta hivyo pia na yeye kwenye family yake
The problem is mechanism he is using
 
Unaongea kuhusu mambo usiyoyajua.
Wapo whistle blowers.
Hawa whistle blowers kwa nini hawamwambii mkuu wao wa kazi kwamba hapa umefanya makosa?
Kwa nini hawa whistle blowers wakiwa na complaint wanaiandika Facebook?
They did it two times, n they didnt say that they hv failed...you are my Brother n you have my all respect...There was no need to publicise.
 
Sasa Kwa nini Mwalinu alikuwa anaishi Ikulu? Kwani yeye tembo?
Kwa nini Donald Trump anaishi White House? Kwani yeye tembo?
Kwa nini Charles anaishi Buckingham Palace? Kwa nini Putin anaishi Kremlin?

Halafu tazama.
Wanataka Mama Maria Nyerere aende Angola kesho kuitwa.
Sasa Mama Maria, unsurprisingly, anasema,hawezi kwenda,she is too old,too sick.
Sasa, wanataka wa- force hiyo wamlazimishe kwenda,wanatishia asipokwenda safari yote ita- collapse,Kwa sababu Utumishi watakataa kuigharimia hiyo safari kwa wale wanafamilia wengine walioalikwa. Kwa maana hiyo,anatakiwa kusafiri,ili awaokoe wale wengine wanaotaka kushiriki katika hiyo safari. ATI,wamkimlazimiza kusafiri,itsonyesha jindi wanavyomjali. As it is,they have convinced the old lady to go.

Lakini hiyo yote tisa tisa bado kumi.
Katika hali hiyo ambapo Mama Maria anasema sitaki,sitaki,sitaki kusafiri,I am too old,ungetegemea kwamba watu hapa wangeonyesha heshima zaidi kwangu,kwa sababu I am next in line.
But no,as the health of the old lady detereorates,kejeli dhidi yangu inaon gezeka.
Washenzi sana yaani yule bibi wa watu mama maria still wanataka kuanza kumsumbua sumbua kwenye harakati zao za kisiasa wakati alipaswa kupumzika

Ila binaadamu waroho sana wapesa aisee 😁😁😁😄🙌
 
Kwanza huyo jamaa sio muongeaji kabisa,hata ukumkuta pale kwao ukitaka kuongea naye anakukwepa.
Jamaa ni wale mnawaita introvert ila yeye ni zaidi.
Nadhani akiwa anaandika humu ndio anapata afueni.
Wamuache tu hakuna aliye mlipia bundle 😄😄

Halafu tumekubaliana huu ni wakati wa democracy why wampangie mtu Cha kufanya period
 
Poppy, hivi vitu vingine ni issues ndogo tuu za kifamilia, kwa umri wako wa sasa wa miaka 73, you qualify ile bima ya afya ya wazee kutibiwa bure. Huu ni umri wa kutulia na kutulizwa sio umri wa kupigishana kelele za mambo ya kifamilia kuyaleta humu mitandaoni.
Unapaswa kupangiwa tuu appartment moja pale Masaki by the beach, ukawekewa msaidizi wa kukuhudumia kwa kila kitu, kazi yako iwe moja tuu, kula, kunywa, na ku relax na ule upepo mwanana wa bahari, huku kipigwa massage na kufanya meditation.
P
Mbona wasira hajafanya hivyo !? Huu ushauri kwanini usimpatie yeye

Ndio kwanza kutwa kucha anavutana na vijana kwenye majukwaa ya siasa !? 😄 Hii Nchi Ina matatizo

Huu ushauri wako unaweza kumpatia Mzee wasira !?
 
Waungwana akitokea akamuona mtu amekaa vibaya, nyeti zinaonekana, hafurahii na kumchungulia, atatafuta namna ya kusaidia kumsitiri bila kumfanya ajisikie vibaya.

Mimi sio tuu ni mtoto wa maeneo ya Msasani kwa Mwalimu bali ni Mkatoliki wa St Peters, nimetumikia kanisani, nimemuhudumia Mwalimu tumesoma darasa moja Tambaza na mdogo wake, nikaenda A level Ilboru, kwa Makongoro was like home hadi viwanja vya Cave Disco nikiwa TSJ Madaraka alinifuata kuwa MC wa Haruhi ya mdogo wake, hivyo familia ya Nyerere naijua na hali ya afya ya akili ya baadhi ya wanafamilia is an open secret, sasa unapomuona mmoja wa wanafamilia hawa anakuja online kuleta mambo ya family issues ambayo yana kinga ya the right to privacy, hatuwezi kunyamaza, tunachofanya hapa ni kumpooza atulie akae sawa.

P
Ya nini yote hayo? Kuwa St Peters au St Maurus kuna tofauti gani mimi na wewe au mtu wa Kihesa?
Huyu anaongea yake, na kuna watu wako hivyo anaongea ya moyoni mwake anapata raha, sasa wewe unataka kuanza kumsihi mtu ana miaka 70 asiseme anyosema, hata hayo aliyoyasema wala sioni ni aibu ni ya kawaida kabisa katika maisha yetu. Cha ajabu alichosema ni nini?

Nyerere na familia yake hayo ni yao, Nyerere Rais imebaki legacy. Peace.
 
Muacheni mtu anayetaka kusema kwa uhuru aseme kwa uhuru.

Hiyo ni haki yake ya kibinadamu, kiraia na kikatiba.
Mkuu Kiranga , hakuna mtu anayeingilia uhuru wa mtu, ila unapomuona big brother wako, at 73, anatoa vitu vya ndani ambavyo they should be vya kifamilia on open forum, wale wanaojali na wanaweza kusaidia, watasaidia.
Mkuu Manyerere Jackton njooni tumsaidie Big Blaza kwa kumshauri the right thing to do at his age!.
P
 
Mkuu Kiranga , hakuna mtu anayeingilia uhuru wa mtu, ila unapomuona big brother wako, at 73, anatoa vitu vya ndani ambavyo they should be vya kifamilia on open forum, wale wanaojali na wanaweza kusaidia, watasaidia.
Mkuu Manyerere Jackton njooni tumsaidie Big Blaza kwa kumshauri the right thing to do at his age!.
P
Huu ujinga wa usirisiri ndio unaofanya mambo yaharibike zaidi.

Hiyo familia ni yake, sasa wewe una uchungu na hiyo familia kuliko yeye ambaye ni familia yake?

Wewe una haki gani ya kusema mtu asifunguke katika mambo anayotaka kufunguka kuhusu familia yake?

Hiyo haki unaipata wapi, wakati wewe hata si mwanafamilia?
 
Mkuu Poppy, Poppy Hatonn , kwa vile wewe ni mtu enlightened, ni mtu wa meditation, being a first born you were supposed to be the chosen one, lakini imetokea kama kwa Caine and Abel and Essau and Issac, hivyo na wewe kuwa tu mpole kama Essau, your time is almost up, resort to deep meditation, ili uumalize huu mwendo peaceful, as long as you have food to eat and shelter, live your short remaining life in this world to the fullest, enjoy life, do good deeds, and never mind kabisa this time, you will be repayed everything that you were supposed to be in your next reincarnation!.

Mfano hata Mzee wako baada ya kuondoka, was incarcerated into Humphrey Polepole Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa? na GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake? but very unfortunately wale wale watu wabaya waliomtoa JPM, wakamuondoa tena!.

Kama uliweza kuvumilia yote kwa miaka yote, huwezi kushindwa kuvumilia na kustahimili muda huu wa jioni kabisa, ukiona giza limekuwa kubwa sana, ujue ni karibu kunapambazuka, don't do anything silly this time, subiri kukuche!.

Wish you all the best.

Mzee Pasco
Andrew hapendi CCM

HATAKI FIKRA ZA MWENYEKITI ZIDUMU

CCM OYEEEEEEEE
 
Back
Top Bottom