D
DeletedMember281674
Guest
Sijaona bandiko lako kule FACEBOOK naona mambo ya Freemason tu. Tupe basi maoni Yako kuhusu kauli ya VP
Sijaona bandiko lako kule FACEBOOK naona mambo ya Freemason tu. Tupe basi maoni Yako kuhusu kauli ya VP
Ninayo account mpya Facebook.Sijaona bandiko lako kule FACEBOOK naona mambo ya Freemason tu. Tupe basi maoni Yako kuhusu kauli ya VP
Sawa MkuuNinayo account mpya Facebook.
Hiyo post( ya Facebook) itafute Kwa link hii hapa.
Kama vipi, nataka niondolewe hapa JF.You wait
Facebook account yangu ni Andrew Burito.Sawa Mkuu
Mambo ya the right to privacy, sio usiri wa kuficha mambo but ni discreet to maintain the dignity, ndio maana hata ugonjwa wa mtu unakuwa siri, mgonjwa mwenyewe akiamua ku disclose or family discloser ni haki yao, ila mtu kama unamjua ana hali fulani, na mnaijua, kisha mnamuona ana disclose issues za ndani, hili sio la kushabikia wala kushadadia kuwa mwacheni afunguke, nashauri asaidiwe!.Huu ujinga wa usirisiri ndio unaofanya mambo yaharibike zaidi.
Hiyo familia ni yake, sasa wewe una uchungu na hiyo familia kuliko yeye ambaye ni familia yake?
Wewe una haki gani ya kusema mtu asifunguke katika mambo anayotaka kufunguka kuhusu familia yake?
Hiyo haki unaipata wapi, wakati wewe hata si mwanafamilia?
Jamaa anataka kutoka kwenye familia ya Nyerere.
Kaka Mkubwa Poppy, Poppy Hatonn , unajua kuna watu baki tulikuwa tunaongea na baba yako kuliko anavyoongea na nyinyi watoto wake?. Unajua mimi ni miongoni mwa watu tuliokuwa tunakuja Msasani kuongea na Mwalimu, hivyo inawezekana hiyo kauli ya "Nyumba kubwa hivi kwani mimi tembo", wewe hukuwahi kuisikia, mimi ni miongoni mwa tulio isikia.Sasa Kwa nini Mwalinu alikuwa anaishi Ikulu? Kwani yeye tembo?
Kwa nini Donald Trump anaishi White House? Kwani yeye tembo?
Kwa nini Charles anaishi Buckingham Palace? Kwa nini Putin anaishi Kremlin?
No sio haipendi CCM, ni yuko kama Baba yake, hataki ujinga!, hata Mwalimu, japo alikuwa CCM lakini hakutaka kabisa mambo ya kijinga, CCM ikileta ujinga alikuwa anachukua ana tupa kule! Watu Wenye Akili, tusikubali ujinga huu ! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 Kusimamisha Jitu la Hovyo!, Akachagua upinzani!Andrew hapendi CCM
HATAKI FIKRA ZA MWENYEKITI ZIDUMU
CCM OYEEEEEEEE
Kweli Mwalimu alisema yeye siyo tembo na hiyo nyumba aliyojengewa Butiama ni kubwa sana.Kaka Mkubwa Poppy, Poppy Hatonn , unajua kuna watu baki tulikuwa tunaongea na baba yako kuliko anavyoongea na nyinyi watoto wake?. Unajua mimi ni miongoni mwa watu tuliokuwa tunakuja Msasani kuongea na Mwalimu, hivyo inawezekana hiyo kauli ya "Nyumba kubwa hivi kwani mimi tembo", wewe hukuwahi kuisikia, mimi ni miongoni mwa tulio isikia.
Mimi ndie mwandishi pekee wa habari niliyesafiri na Mwalimu safari yake ya mwisho ya Geneva na huko nilizungumza nae na Bi Wikens, aliporejea ndio akaanza kuumwa, na ni mimi tena ndie mwandishi pekee wa habari wa Tanzania kumtembelea St. Thomas, nikaja kumpokea na kumsindikiza mpaka Butiama ile safari yake ya mwisho, hivyo najihesabu ni mtu wa karibu na Mwalimu hivyo upokee ushauri wangu vizuri kama ni mtu mwenye nia njema, after all mimi ni mwana meditation mwenzako, hapa tuko safarini tuu, tujitahidi mwendo kuumaliza salama.
P
Hakuna mtu anayetaka uondolewe jfKama vipi, nataka niondolewe hapa JF.
Huyu atakuwa hakujui vizuri wewe ni mtu wa aina gani!Yupo jamaa mwingine katika posting hii amesema napaswa kuadhibiwa vikali.
Aliyeshauri massage ni mimi, sijasema upelekwe, nimeshauri upangiwe a beach apartment, upatiwe mtu wa kukudumia 24/7, na at that age 73 years, Tanzania hatuna instructors wa Tai Chi, hivyo nimeshauri upatiwe mtu wa Thai or Sweedish massage ni deep tissue massage, you need this at this age.Napaswa kupelekwa kwenye massage parlour.
Usitoke jf, tunakufurahia tunajiona kama tuko na Mwalimu.Nataka nitoke JF.
Sio wote tunaokushauri humu ni drunkards.Sina muda wa kubishana na drunkards.
Thanks for thisKweli Mwalimu alisema yeye siyo tembo na hiyo nyumba aliyojengewa Butiama ni kubwa sana.
hayo ni ya kifamilia zaidi, usiyalete sana humuLakini mambo yanafanyika according to certain fixed rules.
Ni kweli nakuunga mkono, ila ni Mwalimu ndio alifuta uchifu, hakuna cha king, queen wala prince ndio maana yeye aliishi maisha ya kawaida, na watoto wake mkaishi kama watu wa kawaida ila katika familia yenu, kuhusiana na mzaliwa wa kwanza, kuna mambo kama ya Esau na Jacob kuhusu the choosen one!.Prince( kama mimi) ni lazima aishi katika nyumba ya kifahari.
Ni kweli, ila thamani halisi ya prince, ni kama akizaliwa peke yake, lakini kwenu mko ma prince 5 na princes 3 ni changamoto. Mimi nawakumbuka wote nyinyi kuanzia wewe Andrew Burito, Anna Watiku, Anselm Magige, John Guido, Charles Makongoro, Godfrey Madaraka, Rosemary, bila kumsahau .Pauleta Nyabanane, mimi ndio nilikuwa MC wa harusi ya Rose.Yupo prince wa kuzaliwa( kama mimi).
Kwa hiyo unamuona Poppy Hatonn ana hali gani ambayo imekupa wewe haki ya kumuamulia aseme nini na asiseme nini?Mambo ya the right to privacy, sio usiri wa kuficha mambo but ni discreet to maintain the dignity, ndio maana hata ugonjwa wa mtu unakuwa siri, mgonjwa mwenyewe akiamua ku disclose or family discloser ni haki yao, ila mtu kama unamjua ana hali fulani, na mnaijua, kisha mnamuona ana disclose issues za ndani, hili sio la kushabikia wala kushadadia kuwa mwacheni afunguke, nashauri asaidiwe!.
Hata issues za Dr. Shika, nililaumu jinsi alivyokuwa exposed huku akijulikana fika ni mtu mwenye hali fulani Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!. na siku gazeti la Daily News limemuandika, nikawaeleza Habari ya Dr. Shika Daily News: Dear Daily News, you are a broadsheet and not a tabloid!, habari za udaku, umbeya na udhalilishaji waachieni Tabloids!
Hii ndio hali ya Big Brother wetu huyu, tusishabikie, tumsaidie.
P
Mwanasheria nguli kutoka JF C-C Daily Stories akuandalie makarabrasha ila hakikisha ili umuelewe inabidi uwe na efu zisizopumgua tatuUnajua saying,Did he jump or was he pushed?
Nataka kutoka familia ya Nyerere.
How do I do it legally?
HahahaWho are you,dog?
Kuku wahed.
Unadhani mimi ni Sativa?
HahahaIt is always like that.
Mtu anafanya jambo: he is laughing and joking.
Lakini like jambo liandike Facebook. Utaona kwamba he is not laughing any more. Instead,he has got a fever.
HahahaNimemwona huyu mtu mmoja alikuwa anaipinga posting hii: huyu mene mene telke.
Nikacheki posting zake kufahamu ni nani huyu anayenisema vibaya.
Nilipotazama posting zake nikaona just what I was looking for.
Katika posting yake moja anasema yeye anapenda kuchanganya konyagi na Serengeti.
This is precisely what I was looking for and it is precisely what I am talking about.
Watu wanachanganya konyagi na Serengeti,ndiyo chanzo cha matatizo yetu mengine.