Nataka kutoka familia ya Nyerere

Pokea hela, acha ubwege. Hata kama huhitaji lakini kizazi chako kinahitaji
 
Muulize nani alikuwa analazimisha kile chumba cha Mwl ambacho huwa hakifunguliwi kifunguliwe? Aliacha kiasi gani pesa za wakandarasi; Popy yupo sahihi.

Punguzeni kugombanisha familia kisa madaraka.
 
Muulize nani alikuwa analazimisha kile chumba cha Mwl ambacho huwa hakifunguliwi kifunguliwe? Aliacha kiasi gani pesa za wakandarasi; Popy yupo sahihi.

Punguzeni kugombanisha familia kisa madaraka.
Private family issues should be kept private, they have their right to private!

Mimi ni miongoni mwa tuliotia timu Mwitongo baada ya msiba,uadilifu wa Mwalimu unafahamika,acheni kuleta vi drama vya kizushi kuhusu uadilifu wa Mwalimu na issues za fedha,msitake kumuanisha Poppy kaacha a fortune of billions!

Kwanza kwa msio jua alipoiona ramani, aliigomea kuwa ni nyumba kubwa sana kwani yeye tembo!

P
 
Unajua saying,Did he jump or was he pushed?

Nataka kutoka familia ya Nyerere.

How do I do it legally?
Rudisha kadi yako unakuwa leggaly disattached nao.

Tunakukaribisha gheto la wala ndimu bila kukunja sura😀
 
Watu wanapeana hela hapa, mamilioni.
Halafu all the while tunashindwa kufunga camera za ulinzi. CCTV.
Watu hawazitaki kamera za ulinzi,Kila mtu anataka kuitwa mheshimiwa,wakati sisi waheshimiwa wenyewe tupo wachache sana.
Sasa utailinda vipi nyumba kama hakuna camera?
Matatizo yakitokea utayatanzua vipi?
Utafanya kesi,utasema,wewe nakuamini,wewe sikuamini.
Halafu utawahukumu kuadhibiwa watu ambayo hawana hatia.
 
Paschal umeacha la msingi, uka deal na decoy.
 
poleni
 
Mbona kama kuna viashiria kuna namna tunaambiwa Polepole is no more? Umma una matumaini ya kumuona tena na ikiwa vinginevyo hata iwe lini naamini historia itaandikwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…