DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwa Hili Umedanganya Mkuu Kununua Kiwanja zanzibar Mtanganyika Ni vigumu sana...Wananunua ardhi wazungu itakuwa mm Mtanganyika
Kwa Kauli hii Unaonekna Haumiliki ArdhiWako watanganyika wengi sana wanamiliki ardhi na biashara kubwa hapa Unguja. Asante pia kwa ushauri
yan kuna watu mnajifnya mnajua sana maisha ya watu yan umejibu km kwa makasiriko kwa jamaa yan inaonyesha unaliroho la uwivu ndan yakoVipi, kuhusu wewe, hukuwafanyia wenzako fitina wakati bado upo na bosi kazi aliyekupenda?? Je, wewe ni malaika??
Haya bado ni maelezo ya upande mmoja, tunaita majungu na fitina! Yaani unataka uonewe huruma na jamii hata kama umekosea! Umeingiza mpaka udini!
Sasa hapa unamlaumu nani? Ulitegemea taasisi isingefahamu?? Halafu inaonekana kama ulianza kuvimba a.k.a kuonyesha majivuno, kiburi na dharau!
If you do not know where you're going any road or path Will take u there, though I do not argue with foolsyan umejibu kidem dem khaa alaf kishamba yan
SawaKwa Kauli hii Unaonekna Haumiliki Ardhi
Sawa mkuu nitakupm haina shdaHongera Ana kwa kuweza kupata kiwango kikubwa Cha pesa tulia kwanza nyumba uza baada ya miaka kumi mbel kwasas uza kiwanja njoo tafuta kibiashara fanya fungua ka hdw kigamboni
Kama unatak ushauri Zaid njoo dm
Wewe ni :Huwezi Kumiliki Mzee Bila kuwa Na kitambulisho cha Mzanzibar Acha chai
Napaswa kujieleza kwako 🥹, kwani si ushaconclude kwamba similiki ardhi namm nmesema sawa kumbe hatukumaliza mkuu 😀Kwa Hili Umedanganya Mkuu Kununua Kiwanja zanzibar Mtanganyika Ni vigumu sana...
Na Mzungu ananunua Kiwanja kama Mwekezaji na sio Kama Raia..
Na hata Mtanganyika anauziwa kiwanja kama Mwekezaji..
Nimeishi zenji mkuu so Niambie Ulinunuaje
Wewe ni :yan inaonyesha unaliroho la uwivu ndan yako
hapa na mm ndio nataka nisikie. isije akawa anatufunga kambailikuwaje ukanunua kiwanja Zanzibar ilihali we ni.Mtanganyika
hawa wapuuzi wanatuona sisi matutusa kutudanganya kua unaweza kumiiliki ardhi zanzibar mtu wa bara. labda zile nyumba za Fumba Town sawa.Huwezi Kumiliki Mzee Bila kuwa Na kitambulisho cha Mzanzibar Acha chai
Asante sana kwa ushauri! Nimeupokea15m nyumba ,Tandika ipi hyo? Fanya utafiti vzur, me nakushauri , kodisha hyo nyumba uanze na biashara ndogo ndogo kikubwa inabidi ukubali maisha ya chini ukijipanga.
Sawa mkuu, Nimepokea ushauriNafuu wamekufukuza kazi rudi nyumbani. Laa sivyo wangekuua kwa majini kama sio kukufanya mgonjwa au kichaa