Sina taarifa za kutosha kuhusu huko Mkuu.Wakuu habari za jioni.
Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu.
1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo.
2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake.
3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho.
4. Any other important information.
Asanteni sana.
The Sunk Cost Fallacy 2
AGROPRODUCT
PakiJinja
Nifah
Nenda sehemu panaitwa narco ama njia panda ya kiteto utapata basi pale au hapo gairo subiri gari za kutoka dar to kiteto kama M.J safari, Kimbinyiko, Kamwana, nauli nadhani itakua inacheza kwenye 25000/= (Sina uhakika sana juu ya Hilo).Wakuu habari za jioni.
Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu.
1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo.
2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake.
3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho.
4. Any other important information.
Asanteni sana.
The Sunk Cost Fallacy 2
AGROPRODUCT
PakiJinja
Nifah
Asante sana kiongozi.Nenda sehemu panaitwa narco ama njia panda ya kiteto utapata basi pale au hapo gairo subiri gari za kutoka dar to kiteto kama M.J safari, Kimbinyiko, Kamwana, nauli nadhani itakua inacheza kwenye 25000/= (Sina uhakika sana juu ya Hilo).
Kuhusu guest nzuri hiyo ni changamoto kubwa ya kiteto, Kuna mbili nazijua moja ni The sleep way hotel room zinaanzia 25000 mpk 70000 nyingn ni the Kilimanjaro hotel.
Jiandae namna ya kukabiliana na baridi Kali.
Naamini utapata pa kuanzia.
Hahahaha shukran sana mkuu.Ulizia Lusaka Lodge.....chakula nyama kwa sana ...kuku wa kiennyeji....pub zipo watoto kutoka Kondoa Babati na Tanga .....nzii wengi novemba 2 disemba......viburudisho vipo unaweza jikuta UMEPIGA KAMBI YA KUDUMU
Asante sana mkuu.Kiteto, mji wa Kibaya... Kama lilivyo jina lake, it's not that much good place to live kama hauna mishe, Hata mzunguko wa fedha ni mdogo, wapo wahamiaji huko pia, kuna ishu za madini na ishu za pirates au magendo mengi. Kuna vumbi kama Dodoma tu, kikubwa nothing special, Hamna lami kwenye entrance na exit zake. All the best
Duh! Aisee mimi nyumbani kwetu kulikua na Atlas kadhaa. Kwahiyo maramani ya dunia, Africa na Tz yapo kichwani.Ndo nimepasikia Leo😂😂
Kiteto pazuri sana hata kuwekeza pana future....Hahahaha shukran sana mkuu.
Si mbaya kitoto cha kunipa kampani acheze girlfriend role.
Uko vizuri Mkuu.....watu kujiongezaDuh! Aisee mimi nyumbani kwetu kulikua na Atlas kadhaa. Kwahiyo maramani ya dunia, Africa na Tz yapo kichwani.
Nilishangaa sana kipindi kile majanga yametokea Hanang watu wanahoji Hanang iko mkoa gani?
Mimi haya majina nilishayazoea, Hanang, Katesh, Kiteto, Simanjiro tangu yakiwa mkoa wa Arusha.