Nataka kwenda Kiteto, nipo Gairo naombeni ABC za safari na mji ulivyo

Nataka kwenda Kiteto, nipo Gairo naombeni ABC za safari na mji ulivyo

Ahaa! Kumbe ili udakwe au utekwe na kupotezwa ni Lazima au ni Sharti kuwepo na sababu nzito tena sababu sumbufu na Tishio kwa mamlaka/Dola. Kwa hiyo, kumbe kama hujatimiza vigezo hakuna anayehangaika na wewe.
Sasa bwana afande kama kweli, mimi nitakuwa hapa week nzima. Nitafuteni tu.
 
Ahaa! Kumbe ili udakwe au utekwe na kupotezwa ni Lazima au ni Sharti kuwepo na sababu nzito tena sababu sumbufu na Tishio kwa mamlaka/Dola. Kwa hiyo, kumbe kama hujatimiza vigezo hakuna anayehangaika na wewe.
Hujatimiza vigezo.
Hahaha kwahiyo wewe ni afande kweli? Bora hata nimepata mtu wa ulinzi na usalama. Hata likinikuta la kunikuta nna wakukimbilia.
 
Wakuu habari za jioni.

Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu.

1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo.

2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake.

3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho.

4. Any other important information.

Asanteni sana.

The Sunk Cost Fallacy 2
AGROPRODUCT
PakiJinja
Nifah
Beba Vaseline.
 
Hahaha kwahiyo wewe ni afande kweli? Bora hata nimepata mtu wa ulinzi na usalama. Hata likinikuta la kunikuta nna wakukimbilia.
Usiogope mkuu. Japokuwa mm sio afande lakini ondoa mashaka Kiteto ni mahali salama sana. Mtifuano uliopo huku ni umejikita kwenye vurugu baina ya Wafugaji na Wakulima kibongobongo ni Ng'ombe na mbuzi vs Mahindi na mbaazi mashambani.
 
Mkuu hata uwe afande, mimi hunikamati kupitia JF 🤣🤣🤣
 
Mkuu hata uwe afande, mimi hunikamati kupitia JF 🤣🤣🤣
Jf ni mtandao wa maGT na sio kwa ajili ya kukamata watu. Tena mkuu, zingatia ukweli kwamba nimeshakanusha mimi sio afande na sijihusishi kwa namna yoyote ile na shughuli za ukamataji wala utekaji wa watu au mambo ya siasa. Ni hayo tu - Asante.
 
Uongo uko wapi hapo? Kwamba sisi wakaz wa gairo hatulimi kiteto? Au kutoka gairo na kurudi kulala ndio uongo? Ww unaijua gairo au kiteto?
Me nipo huko unapopataja, huna cha kunielekeza.
 
Me nipo huko unapopataja, huna cha kunielekeza.
Wapi ninapopataja mimi nipo gairo magoheko mtaa wa uwanja wa ccm zaman uwanja wa taifa na kulima kwangu ni kiteto sasa unataka kuanzisha ligi. Any way endelea kula amayungu ukishiba utatulia
 
Back
Top Bottom