mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hivi inaanzaga matui alafu kiteto siyoDuh! Aisee mimi nyumbani kwetu kulikua na Atlas kadhaa. Kwahiyo maramani ya dunia, Africa na Tz yapo kichwani.
Nilishangaa sana kipindi kile majanga yametokea Hanang watu wanahoji Hanang iko mkoa gani?
Mimi haya majina nilishayazoea, Hanang, Katesh, Kiteto, Simanjiro tangu yakiwa mkoa wa Arusha.
Ova