Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kumbe?Gairo ni mwenyeji au mgeni? Maana hapa kwetu gairo na kiteto ni pua na mdomo na hata watu wanalima kiteto na kuja kulala gairo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe?Gairo ni mwenyeji au mgeni? Maana hapa kwetu gairo na kiteto ni pua na mdomo na hata watu wanalima kiteto na kuja kulala gairo
Hizo sehemu nakumbuka kuna sehemu moja inaitwa zoisa ukikunja shoto unaitafuta dom-vijijini
Ova
Kumbuka ulichokisema PM, eti umeenda mpaka Lusaka Hotel ila hujui nimeandikisha jina gani?Jf ni mtandao wa maGT na sio kwa ajili ya kukamata watu. Tena mkuu, zingatia ukweli kwamba nimeshakanusha mimi sio afande na sijihusishi kwa namna yoyote ile na shughuli za ukamataji wala utekaji wa watu au mambo ya siasa. Ni hayo tu - Asante.
Mkuu; Ni kweli nilienda kama ulivyobainisha hapo juu. 👆 👆Kumbuka ulichokisema PM, eti umeenda mpaka Lusaka Hotel ila hujui nimeandikisha jina gani?
Kwa akili yako ya kawaida unadhani mimi naitwa Paul?🤣🤣
Ngoja nikupe taarifa basi, mwanangu ndiye nimempa jina la Sean. Na Paul ji jina la marehemu babu yangu ambaye at one time alipendekeza nipewe jina lake......ingawa situmii hilo jina.
NItarudi Kiteto mara kwa mara. Kuna project naifanya huko. Nimepata connection ya mambo kadha wa kadha. Sijawahi kutoa mawasiliano yangu humu JF hata iweje.Mkuu; Ni kweli nilienda kama ulivyobainisha hapo juu. 👆 👆
Mimi nilidhani tukiwa hapa jamvini ni mojawapo ya sehemu ya kufahamiana.
Na uliposema unakuja Kiteto nikadhani pia ni fursa ya kufahamiana zaidi. Sikuwa na lengo lolote ovu juu yako kimaisha, wala kuhusu mishe zako na wala kamwe sijihusishi na mambo uliyodhania cjui nikuteke, nikuhujumu au vinginevyo. Nilikuhakikishia hilo na hata sasa nakusihi sana ondoa mashaka kwangu na usidhani mimi ni mmoja wa Wasiojulikana. Never. I am not one among them. Nasikitika, lakini pia pole sana kama ulipata usumbufu wa kukosa amani moyoni mwako kwamba labda ninakuwinda. Hakuna kitu kama hicho. Nakutakia amani, tena AMANI tele.
Ninafahamu kwamba jina lako hapa jamvini i.e. Username sio jina lako halisi.