Hivi inaanzaga matui alafu kiteto siyoDuh! Aisee mimi nyumbani kwetu kulikua na Atlas kadhaa. Kwahiyo maramani ya dunia, Africa na Tz yapo kichwani.
Nilishangaa sana kipindi kile majanga yametokea Hanang watu wanahoji Hanang iko mkoa gani?
Mimi haya majina nilishayazoea, Hanang, Katesh, Kiteto, Simanjiro tangu yakiwa mkoa wa Arusha.
Pamoja sanaMimi mgeni huku, lakini nimeshawasili. Kuna kaubaridi.
Kiteto wakuteta sana kuwa makiniWakuu habari za jioni.
Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu.
1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo.
2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake.
3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho.
4. Any other important information.
Asanteni sana.
The Sunk Cost Fallacy 2
AGROPRODUCT
PakiJinja
Nifah
Kiteto watakuteta sana kuwa makiniWakuu habari za jioni.
Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu.
1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo.
2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake.
3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho.
4. Any other important information.
Asanteni sana.
The Sunk Cost Fallacy 2
AGROPRODUCT
PakiJinja
Nifah
Karibu sana mkuu. Umefikia wapi nikutafute? Mimi leo niko mjini Kibaya eneo linaitwa Bomani.Mimi mgeni huku, lakini nimeshawasili. Kuna kaubaridi.
Nipo eneo la tukio kaka. Hapa unyama sana.Ulizia Lusaka Lodge.....chakula nyama kwa sana ...kuku wa kiennyeji....pub zipo watoto kutoka Kondoa Babati na Tanga .....nzii wengi novemba 2 disemba......viburudisho vipo unaweza jikuta UMEPIGA KAMBI YA KUDUMU
Nimetuma PMNipo Lusaka Hotel ingawa mi naona lodge tu
Usije kumdaka huyo mshkajiNimetuma PM
Nimpeleke wapi aisee? Mbona mie sio mmojawapo wa wasiojulikana.Usije kumdaka huyo mshkaji
nimetoa onyo tu kuna dogo nusura wamdake wakati wa jpm yupo jukwaa la siasa walimseti vizuri ila akawateleza wale watuNimpeleke wapi aisee? Mbona mie sio mmojawapo wa wasiojulikana.
nimetoa onyo tu kuna dogo nusura wamdake wakati wa jpm yupo jukwaa la siasa walimseti vizuri ila akawateleza wale watuNimpeleke wapi aisee? Mbona mie sio mmojawapo wa wasiojulikana.
Hahaha aje tu, mie mwenyewe mwana usalama kaziniππ€£π€£π€£nimetoa onyo tu kuna dogo nusura wamdake wakati wa jpm yupo jukwaa la siasa walimseti vizuri ila akawateleza wale watu
Sasa mbona unamuogopa mgeni wako?πππ huyo dogo ninaemsimulia alikuwa mkosoaji sana wa jpm ila ndio akakutana na kisanga hicho tena walimjia kwa staili ya mambo ya kilimoHahaha aje tu, mie mwenyewe mwana usalama kaziniππ€£π€£π€£
Atajisumbua bure.
Kwenye daftari la wageni jina langu halipo.
Na hapa Kiteto Lusaka zipo 3.
Ahaa! Kumbe ili udakwe au utekwe na kupotezwa ni Lazima au ni Sharti kuwepo na sababu nzito tena sababu sumbufu na Tishio kwa mamlaka/Dola. Kwa hiyo, kumbe kama hujatimiza vigezo hakuna anayehangaika na wewe.Sasa mbona unamuogopa mgeni wako?πππ huyo dogo ninaemsimulia alikuwa mkosoaji sana wa jpm ila ndio akakutana na kisanga hicho tena walimjia kwa staili ya mambo ya kilimo