Sasa bwana afande kama kweli, mimi nitakuwa hapa week nzima. Nitafuteni tu.Ahaa! Kumbe ili udakwe au utekwe na kupotezwa ni Lazima au ni Sharti kuwepo na sababu nzito tena sababu sumbufu na Tishio kwa mamlaka/Dola. Kwa hiyo, kumbe kama hujatimiza vigezo hakuna anayehangaika na wewe.
Lengo nimaanishe mwenyeji wakoMimi ndiye mgeni bana. Umechanganya mahesabu.
Hujatimiza vigezo.Sasa bwana afande kama kweli, mimi nitakuwa hapa week nzima. Nitafuteni tu.
Ahaa! Kumbe ili udakwe au utekwe na kupotezwa ni Lazima au ni Sharti kuwepo na sababu nzito tena sababu sumbufu na Tishio kwa mamlaka/Dola. Kwa hiyo, kumbe kama hujatimiza vigezo hakuna anayehangaika na wewe.
Hahaha kwahiyo wewe ni afande kweli? Bora hata nimepata mtu wa ulinzi na usalama. Hata likinikuta la kunikuta nna wakukimbilia.Hujatimiza vigezo.
Beba Vaseline.Wakuu habari za jioni.
Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu.
1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo.
2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake.
3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho.
4. Any other important information.
Asanteni sana.
The Sunk Cost Fallacy 2
AGROPRODUCT
PakiJinja
Nifah
Usiogope mkuu. Japokuwa mm sio afande lakini ondoa mashaka Kiteto ni mahali salama sana. Mtifuano uliopo huku ni umejikita kwenye vurugu baina ya Wafugaji na Wakulima kibongobongo ni Ng'ombe na mbuzi vs Mahindi na mbaazi mashambani.Hahaha kwahiyo wewe ni afande kweli? Bora hata nimepata mtu wa ulinzi na usalama. Hata likinikuta la kunikuta nna wakukimbilia.
Wewe nimesema hapo gairo karibu na stendi ,pia kunawadau wanaotokea kitetoKiteto hamna bar inaitwa Majaliwa aisee!! Mie nimekuja hapa nna details kadha wa kadha.
Mkuu hata uwe afande, mimi hunikamati kupitia JF 🤣🤣🤣Usiogope mkuu. Japokuwa mm sio afande lakini ondoa mashaka Kiteto ni mahali salama sana. Mtifuano uliopo huku ni umejikita kwenye vurugu baina ya Wafugaji na Wakulima kibongobongo ni Ng'ombe na mbuzi vs Mahindi na mbaazi mashambani.
Jf ni mtandao wa maGT na sio kwa ajili ya kukamata watu. Tena mkuu, zingatia ukweli kwamba nimeshakanusha mimi sio afande na sijihusishi kwa namna yoyote ile na shughuli za ukamataji wala utekaji wa watu au mambo ya siasa. Ni hayo tu - Asante.Mkuu hata uwe afande, mimi hunikamati kupitia JF 🤣🤣🤣
MuongoGairo ni mwenyeji au mgeni? Maana hapa kwetu gairo na kiteto ni pua na mdomo na hata watu wanalima kiteto na kuja kulala gairo
Uongo uko wapi hapo? Kwamba sisi wakaz wa gairo hatulimi kiteto? Au kutoka gairo na kurudi kulala ndio uongo? Ww unaijua gairo au kiteto?Muongo
Me nipo huko unapopataja, huna cha kunielekeza.Uongo uko wapi hapo? Kwamba sisi wakaz wa gairo hatulimi kiteto? Au kutoka gairo na kurudi kulala ndio uongo? Ww unaijua gairo au kiteto?
Wapi ninapopataja mimi nipo gairo magoheko mtaa wa uwanja wa ccm zaman uwanja wa taifa na kulima kwangu ni kiteto sasa unataka kuanzisha ligi. Any way endelea kula amayungu ukishiba utatuliaMe nipo huko unapopataja, huna cha kunielekeza.
Hivi inaanzaga matui alafu kiteto siyo
Ova
Sawa sawaMatui ni Mamlaka ya Mji Mdogo iliyo ndani ya Wilaya ya Kiteto.
Kwa hiyo Matui nayo ipo Kiteto.
Vp mkuu umepata pisi kali yeyote huko kitetoMkuu hata uwe afande, mimi hunikamati kupitia JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo sehemu nakumbuka kuna sehemu moja inaitwa zoisa ukikunja shoto unaitafuta dom-vijijiniMatui ni Mamlaka ya Mji Mdogo iliyo ndani ya Wilaya ya Kiteto.
Kwa hiyo Matui nayo ipo Kiteto.