Mmepata watoto wote wawili baada ya kuoana?Wakuu.
Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.
Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.
I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.
Nishaurini maana mimi na huyu ma watoto tuko terminal ila mimi nawaza nikichomoa kidos wangu itakua aje?
Take home yake ni 300k, yeye anamuachia wife 2k kila siku. Tatizo ni wife badala ya kununua nyama au samaki au kuku yeye ananunua mchicha fungu mbili, kitungu kimoja na mafuta ya kula robo na unga nusu kilo tu. Pesa nyingine anatia ndaniMatumizi hayatimii kivipi?
✍️Fanya maamuzi yanye "afya".
Watoto watakua tu.
Ni bora muwe mbalimbali, lakini watoto waishi malezi yenye "afya".
Kung'ang'ana hapo halafu muanze kudundana, haitakuwa malezi bora kwa watoto
Kumbuka wewe ni mwanaume, na unajua huwa tunafanya maamuzi kwa kutumia logic and not feelings.
Take home yake ni 300k, yeye anamuachia wife 2k kila siku. Tatizo ni wife badala ya kununua nyama au samaki au kuku yeye ananunua mchicha fungu mbili, kitungu kimoja na mafuta ya kula robo na unga nusu kilo tu. Pesa nyingine anatia ndani
Ya mkononi 20,000 😳Mnunulie mazaga yote kila mwezi na mpe yake ya mkononi kama 20k mwambie ya vocha mke wangu. Akikwama urudi hapa
Wakuu.
Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.
Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.
I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.
Nishaurini maana mimi na huyu ma watoto tuko terminal ila mimi nawaza nikichomoa kidos wangu itakua
Mkuu umeshawahi kujiuliza mfano ukikata moto leo Watoto wako wataishije!?,mkuu uwepo usiwepo maisha lazima yaendelee ishi kwa ajili yako,najua huwezi kuelewaWakuu.
Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.
Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.
I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.
Nishaurini maana mimi na huyu ma watoto tuko terminal ila mimi nawaza nikichomoa kidos wangu itakua aje?
Maisha ya ndoa yanahitaji uvumilivu na kuchukuliana. Kumuacha mke mwenye watoto wawili kwa sababu zisizo na mashiko, ni ukozefu wa ukomavu kwenye maisha.Wakuu.
Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.
Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.
I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.
Nishaurini maana mimi na huyu ma watoto tuko terminal ila mimi nawaza nikichomoa kidos wangu itakua aje?
Hajaoa huyuMaisha ya ndoa yanahitaji uvumilivu na kuchukuliana. Kumuacha mke mwenye watoto wawili kwa sababu zisizo na mashiko, ni ukozefu wa ukomavu kwenye maisha.
Hata huo mchepuko unao kuchanganya kwa sasa, ukiingia naye rasmi kwenye ndoa nyingine mpya utamkuta na madhaifu ya kutosha tu kuliko huyo wa sasa.
Unapendekeza apewe ngapiYa mkononi 20,000 😳