kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Mh pole sana, ngoja waje wataalamu
Labda mzabzabUnamwachia nani sasa? Yaani nani amchukue?
Kuna saa nasema bora ni focus kwenye career, maana huku nje ni vilio na maajabu mengi.Yaani nimesoma nimeumia. Nimehurumia mshikaji. Mwanamke. Hadi watoto.
Sema sijui mwambakaoa au sogea tupike.
Kila mwezi natoa 500k ya matumizi home na yeye 100k yakwake.Take home yake ni 300k, yeye anamuachia wife 2k kila siku. Tatizo ni wife badala ya kununua nyama au samaki au kuku yeye ananunua mchicha fungu mbili, kitungu kimoja na mafuta ya kula robo na unga nusu kilo tu. Pesa nyingine anatia ndani
Ukiongea nae anasemaje?Nikimpa matumizi ni anachezea tu
Hataki kufanya kazi?Kila nikimwambia hataki
Huwa unampa bei gani?Nikimpa matumizi ni anachezea tu
Watoto sio wa kwako ndio maana anakuletea nyodo kanuni namba moja ukishaoa malaya kua mpole utauponza pia uwe una hudhulia vikao inaonekana mahudhulio yako sio mazuriKido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.
I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.