Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

Sometimes wanaume tunazingua sana aisee, umemlomba dada wa watu kwa Miaka zaidi ya mitano na ukamzalisha mara mbili afu unakuja na u$enge wako hapa ety niachane nae bila kuathiri watoto, pumbavu kabisa, Kwahy unataka umuache ili aende wapi? Afu nyie nyie ndo mnajifanya hamtaki kuoa single mother.

FK U
 
kwanza kama kweli unatoa 500,000 ni kubwa sana,na yake binafsi 100,000

Aisee huyu yupo kwenye neema sana ila hajitambui tu,huenda kwa mtazamo wangu haukuwa na msimamo toka awali kwahiyo anakumudu sana

Yani tangu awali hukujenga misingi ya kufahamika kwamba wewe ni mume na kiongozi wa familia,matokeo yake ndio haya sasa,haambiliki na hakuheshimu

Kabla ya kufikia hatua ya kumuacha fanya juhudi zote za kuyaweka mambo sawa,ikiwemo kushirikisha ndugu zake na wako juu ya kadhia yenu

Sasa baada ya hatua hizo kutofanikiwa basi okoa uhai wako na afya yako ya akili,muache na Lea watoto wako,sio wote wanao funga ndoa wataishi mpaka kifo.
 
Kuachana kwenu lazima kuathiri watoto wenu, kaeni chini myajenge kabla hayajaharibika zaidi.
 
kwanza kama kweli unatoa 500,000 ni kubwa sana,na yake binafsi 100,000

Aisee huyu yupo kwenye neema sana ila hajitambui tu,huenda kwa mtazamo wangu haukuwa na msimamo toka awali kwahiyo anakumudu sana

Yani tangu awali hukujenga misingi ya kufahamika kwamba wewe ni mume na kiongozi wa familia,matokeo yake ndio haya sasa,haambiliki na hakuheshimu

Kabla ya kufikia hatua ya kumuacha fanya juhudi zote za kuyaweka mambo sawa,ikiwemo kushirikisha ndugu zake na wako juu ya kadhia yenu

Sasa baada ya hatua hizo kutofanikiwa basi okoa uhai wako na afya yako ya akili,muache na Lea watoto wako,sio wote wanao funga ndoa wataishi mpaka kifo.
Nimejitahidi kuongea ila naona imeshindikana
 
Take home yake ni 300k, yeye anamuachia wife 2k kila siku. Tatizo ni wife badala ya kununua nyama au samaki au kuku yeye ananunua mchicha fungu mbili, kitungu kimoja na mafuta ya kula robo na unga nusu kilo tu. Pesa nyingine anatia ndani
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom