adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Mkuu kaa pembeni kama unaona mambo mengi muda wako mgumu na hewa ngumu.
Tumezika jamaa majuzi na jana tumepata taarifa ya Msela wetu aliyesingiziwa mambo ya kutisha na mwenza wake amekata moto kwa kunywa sumu.
Angalia mbinu za boys kukaa wewe ukiwa hai uchukuliwe na Muumba kiroho safi sio kuwa forced..