Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

Natafuta Ajira, Zemanda, Xi Jinping
Njooni muinyambue hii coment ya Mwanaume mwenzetu..
Mimi nimeona loopholes katika hii coment.
Ningependa niliowatag wapite kwenye hizi loopholes.
Maana kuna kitu common kuhusiana na hii coment na hii miamba niliyoitag.
Mwamba anatoa ushauri wenye makosa makubwa sana. Mwanamke msaliti huwa hapewi muda wa kumfuatilia ni kupiga chini hapo hapo​
 
Kwa sh 2,000 utanunua nyama gani sasa kwa mfano?
Take home yake ni 300k, yeye anamuachia wife 2k kila siku. Tatizo ni wife badala ya kununua nyama au samaki au kuku yeye ananunua mchicha fungu mbili, kitungu kimoja na mafuta ya kula robo na unga nusu kilo tu. Pesa nyingine anatia ndani
 
Sometimes wanaume tunazingua sana aisee, umemlomba dada wa watu kwa Miaka zaidi ya mitano na ukamzalisha mara mbili afu unakuja na u$enge wako hapa ety niachane nae bila kuathiri watoto, pumbavu kabisa, Kwahy unataka umuache ili aende wapi? Afu nyie nyie ndo mnajifanya hamtaki kuoa single mother.

FK U
Taratibu mkuu usije ukaua mtu 🤣
 
Thubutuu 😹😹😹
Uongo utakufanya tushindwe kukusaidia..!!
Sasa na wewe mkuu hueleweki 🤣🤣 Jamaa kasema anatoa 20k umezalau 🤣
Haya kasema anaacha 500k umesema uongo 🤣
 
Wakuu.

Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.

Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.

I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.

Nishaurini maana mimi na huyu ma watoto tuko terminal ila mimi nawaza nikichomoa kidos wangu itakua aje?
sijaona mke wa kuachwa hapa, labda kama kuna mengine ya ndani umeshindwa kuyaweka wazi.
 
Umewa



Mkuu umeshawahi kujiuliza mfano ukikata moto leo Watoto wako wataishije!?,mkuu uwepo usiwepo maisha lazima yaendelee ishi kwa ajili yako,najua huwezi kuelewa
Hapo atakuwa kaburini hashuhudii mateso ya watoto, sasa kwa hapo yupo hai ataona
 
Wakuu.

Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.

Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.

I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.

Nishaurini maana mimi na huyu ma watoto tuko terminal ila mimi nawaza nikichomoa kidos wangu itakua aje?
kwa haya maelezo yako, umeshapata mwingine halafu unatafuta visingizio vya kumuacha! Mi ninachojua upendo hustri mabaya.
 
Watu wanaachana kwa mambo ya kipumbavu kabisa, perfect wife hayupo bora huyo matumizi hayatimii utaokota BOMU hutaamini
 
Back
Top Bottom