We ni trakoSometimes wanaume tunazingua sana aisee, umemlomba dada wa watu kwa Miaka zaidi ya mitano na ukamzalisha mara mbili afu unakuja na u$enge wako hapa ety niachane nae bila kuathiri watoto, pumbavu kabisa, Kwahy unataka umuache ili aende wapi? Afu nyie nyie ndo mnajifanya hamtaki kuoa single mother.
FK U
Bora afikie kukuambia uwalee utapeleka hata mama kuliko akienda nao utakuwa mradi wakeMjomba, nakupa mfano hai.
Hali kama hiyo ilinitokea, jaapo mi nilitelekezewa mapacha wakiwa na mwaka mmoja.
Wakati mwingine, kuna mtu ukimuangalia, unajuta kufahamiana nae.
Lakini pia, ukiangalia huwezi fika popote ukiwa nae. Na mkiachana, kama ni mwanaume unaejielewa, unajiuliza watoto wanaenda kuishi maisha gani.
Na kuwahudumia, still ni yeye utatakiwa kumpa hiyo hela. Na kwa vile hamtakuwa pamoja, usitegemee atawajali kama inavotakiwa. Maana atajua ni wajibu wako.
Bado inauma, kulea watoto mzazi mmoja. Ila tu, angeweza kukuachia, ukawatafutie mtu akusaidie. Ila sasa, tatizo litakuja pale unapohitaji mwanamke. Je wa kuweza kuwalea una uhakika utampata?
Japo hata mwenyewe nikiwaza maisha yao, kichwa kinawaka moto. Ushauli mwingine ukipata huenda na m najifunza jambo.
Wangu nilifikia hatua ya kumuomba akalee watoto, alichonijibu ni kwamba niwalee na mimi ni baba yao.
Upo sahihiWe ni trako
Haya ni mawazo tu. Hivi, unajua akili ya mwanaume anaewaza familia itakula nini?Inategemea pia na uwezo uliopo. Af, kuna vitu mnafananisha. Mwanamke asiekutaka, anaelazimisha nafsi, unakuwa nae kimwili, ila roho ishahama. Hizo out zitamaliza hela tu.Jitahidi uwe unamdinya hadi ukimaliza analala fofo na uwe unamtoa out za hapa na pale.marriage is liability🥳
Si kweli, kwa sababu mwanaume utahudumia, ila malezi huwezi. Na pia, haya unayoyaona ni matokeo ya kizazi kisichojua upendo wa wazazi. Ndo maana, tusingekuwa tunakurupuka, kwenye kuoa, hata background ya mtu ina umhimu sana. Mwanamke aliyekulia maisha ya kuzurura na kutamani vya kila mwanaume, hata umpe nini.Swala la watoto, Ni kama huna hela ila kama unajimudu kiuchumi hao watoto watakua Vizuri kabisa
Yani nimeshangaa sana, inawezekanaje?😹😹🤣 Eti 20k mwezi mzima ila wanaume wanachekesha sana..!!
Sasa si bora uishi bila mume ujue moja..!!
Hakuna kitu kinaitwa "kuvumilia kwa faida ya watoto". Msipotoshane, hakuna kitu muhimu kama utulivu wa kihisia (saikolojia).Haiwezekani muachane bila kuathiri watoto, hivyo fanya maamuzi yako huku ukijua watoto lazima waathirike, kama unashindwa ni bora uvumilie tu kwa faida ya watoto.
Thibitisha kuwa hakunaHakuna kitu kinaitwa "kuvumilia kwa faida ya watoto". Msipotoshane, hakuna kitu muhimu kama utulivu wa kihisia (saikolojia).
Hahahahahaha nicheke mie. Umeongea point sana. Tatizo zinawafaa watu amabao hawajawahi kuishi hayo maisha. Dunia hii, hakuna kitu kinachoweza kuendesha maisha kama uvumilivu. Lakini sasa, kumbuka. Mwanamke anapolalwa nje, na halalamikii kubakwa, basi jua wewe ushamtoka rohoni. Na mpaka afikie hatua hiyo, si jambo la siku moja. Sasa basi,vyanzo ni vingi mno. Na bahati mbaya ukutane na mwanamke anaezijua hela; utajua hujui. Sema tu kwenye maisha ya ndoa, unajifanya kuomba ushauri tu kwa sababu kichwa kinawaka moto, lakini haiwezi kutokea ukafanyia maamzi ushauri uliopokea.Tafakari maamuzi yako upya, kuna uwezokano mkubwa ww ndio ukawa tatizo mpaka huyo mwanamke kupelekea kuwa hvyo,.katika maisha ya ndoa moto hauzimwi na moto,.ww ni mtoto wa kiume hvyo ww ni kiumbe imara na jamii inajua kuwa mwanaume ni kiumbe imara na mwanamke ni kiumbe dhaifu..mimi kama mwanaume mwenzako nakushauri kutokana na uzoefu wangu ebu jaribu kuwa igiza dhaifu muonyeshe upendo na kumjali huyo mwanamke acha kumkosoa kwa makosa yake ya kila siku mpe muda ajirekebishe mwenyewe,kama huna ushahidi ya kuwa amewahi kuku saliti basi usimuache huyo mwanamke..
Binadamu tunatabia ambazo zipo in our DNA. Hatuwezi kubadili, kucheka kwenye kuraha, kulia kwenye majonzi, kusononeka kwenye huzuni, KUPIGANA AU KUKIMBIA KWENYE HATARI,.... Na nyingine nyingi, fomular zinazotumika kwenye mapenzi hazina tofauti sana na zile za vitani. Hata matokeo pia hufanana. Ni kushinda au kushindwa. Na kwenye kushindwa ndo watu wanasalimu amri, wanauwa au wanakimbia.. Hakuna pambano ambalo mtu unashindwa alaf unabaki kwa ajili ya mtu mwingine. Ukibaki unakua huna pakukimbilia, unasalim amri unakua mtumwa. Nimetumia nguvu kubwa ili unielewe. Sijui kama nimefanikiwa!!!!Thibitisha kuwa hakuna
Umesema hakuna kitu kinaitwa kuvumilia kwa faida ya watoto , mbona wapo waliofanya hivyo wewe unasemaje hakuna ?Binadamu tunatabia ambazo zipo in our DNA. Hatuwezi kubadili, kucheka kwenye kuraha, kulia kwenye majonzi, kusononeka kwenye huzuni, KUPIGANA AU KUKIMBIA KWENYE HATARI,.... Na nyingine nyingi, fomular zinazotumika kwenye mapenzi hazina tofauti sana na zile za vitani. Hata matokeo pia hufanana. Ni kushinda au kushindwa. Na kwenye kushindwa ndo watu wanasalimu amri, wanauwa au wanakimbia.. Hakuna pambano ambalo mtu unashindwa alaf unabaki kwa ajili ya mtu mwingine. Ukibaki unakua huna pakukimbilia, unasalim amri unakua mtumwa. Nimetumia nguvu kubwa ili unielewe. Sijui kama nimefanikiwa!!!!
Kuna tofauti kati ya aliyefariki na aliyeamua kuondoka. Athari kwa mtoto ni tofautiUmewa
Mkuu umeshawahi kujiuliza mfano ukikata moto leo Watoto wako wataishije!?,mkuu uwepo usiwepo maisha lazima yaendelee ishi kwa ajili yako,najua huwezi kuelewa
Hao wamekosa pakukimbilia tuUmesema hakuna kitu kinaitwa kuvumilia kwa faida ya watoto , mbona wapo waliofanya hivyo wewe unasemaje hakuna ?
OKHao wamekosa pakukimbilia tu
Bro Hilo jambo ni blames kwa me wengi Yani you fight madogo wale vizuri unakuta mchicha madagaa daah Yani inachisha kwa kweli, ukila hoteli roho inakusutaTake home yake ni 300k, yeye anamuachia wife 2k kila siku. Tatizo ni wife badala ya kununua nyama au samaki au kuku yeye ananunua mchicha fungu mbili, kitungu kimoja na mafuta ya kula robo na unga nusu kilo tu. Pesa nyingine anatia ndani