cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Em sema kweli? Em apiaa?Kila mwezi natoa 500k ya matumizi home na yeye 100k yakwake.
Km ni kweli, bas Fukuza haraka sana.
Em sema kweli? Em apiaa?Kila mwezi natoa 500k ya matumizi home na yeye 100k yakwake.
Asante FK U tooSometimes wanaume tunazingua sana aisee, umemlomba dada wa watu kwa Miaka zaidi ya mitano na ukamzalisha mara mbili afu unakuja na u$enge wako hapa ety niachane nae bila kuathiri watoto, pumbavu kabisa, Kwahy unataka umuache ili aende wapi? Afu nyie nyie ndo mnajifanya hamtaki kuoa single mother.
FK U
😂😂😂😂Thubutuu 😹😹😹
Uongo utakufanya tushindwe kukusaidia..!!
Akiondoka nao ndo hawawezi kuwa mashoga wakiamua?Ukiacha watoto nyuma unaweza kuwakuta washakua mashog... Nibora uondoke nao
Em nenda nae taratibuu bas huenda akakuelewa.Naapia
Kama hili ndio tatizo kuu mbona kuna solution ? Fanya baadhi ya hayo matumizi na kama na yeye uwezo anao achangie kwenye kupata hayo matumizi...; Ila mara nyingi mambo mengi katika haya maisha huwa ni symptoms tu lakini kuna root cause (mfano kuchokana; na mtu ukishamchoka hukosi sababu)Wakuu.
Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.
Fanya maamuzi yanye "afya".
Watoto watakua tu.
Ni bora muwe mbalimbali, lakini watoto waishi malezi yenye "afya".
Kung'ang'ana hapo halafu muanze kudundana, haitakuwa malezi bora kwa watoto
Kumbuka wewe ni mwanaume, na unajua huwa tunafanya maamuzi kwa kutumia logic and not feelings.
Lipa mahari halafu ita wazaziNahisi ilo ni chanzo. Siwezi lipa kisha nimuache aende kwao?
Mtoto wa kiume alielelewa na mama pekee anakua na tabia za kimama kudeka,akimuona mama anasuka na yeye anataka kusuka akifikiri nisawa,mama akiosha vyombo na yeye yupo,akiiona mama kavaa Dera nayeye anataka , mengine mtamaliziaAkiondoka nao ndo hawawezi kuwa mashoga wakiamua?
Ila fikra zenu waja, Lol
Kumbe unataka kuishi mwenyewe ndio maana unatafuta kasoro za mkeo
Kheeeeeh!!Iko terminal
Kumbe ushaamua kuwa unataka kuwa mwenyewe, afu unasingizia uongo.
Huyoo ni chaguo lakooo🎶🎶🔊Wakuu.
Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii.
Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili.
I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant.
Nishaurini maana mimi na huyu ma watoto tuko terminal ila mimi nawaza nikichomoa kidos wangu itakua aje?