Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
Sawa mawazo mazur, vipi we ni mfugaji? Nataka nikuje PMNamaanisha kibiashara. Kuku wa kienyeji anatumia miezi sita kuwa mkubwa wa kulika wakati chotara anatumia miezi mitatu hadi minne. Kibiashara ilo gape la muda lina maana kubwa sana...
Wewe ni bora ana hilo lengo na ameanza, mwisho wasiku akifeli kufikisha laki moja huenda anaweza kuwa na hata elfu thelathini sio mbayaumempa ukweli mchungu kulisha kuku laki1 kisa kuna mashine ya kukoboa karibu kijana analeta masikhara uyu
Umeongea vizuri sana. Lazima awe na business plan iliyoshiba. Ameongea tu na kuweka time frame ambayo siyo realistic.Mkuu unawazo zuri sana tena hadi nimependa arif,hizo ndio target za kiume unapoingia kufanya kitu unawaza mambo ambayo wengine wanaona Huwezi au unajitekenya mwenyewe...
Angekuwa na hizo rasilimali asingeenda Kijijini "kwa Mama".Anaweza akawa ndio mtu wa kwanza kufanya hivyo, kwanini ishindikane kama ana rasilimali za kufanyia hiyo kazi. Kuku laki moja si wengi kushindwa kuwafikia idadi hiyo kwa miaka 3.
Anahitaji kuwa na speed ya uzalishaji kubwa.
Mfugaji wa size ya kati ambaye naelekea kuwa mkubwa InshallahSawa mawazo mazur, vipi we ni mfugaji? Nataka nikuje PM
Khy apo unatrei 115 ivii kwa siku sem mm natak niupe mchanganuo wa kuku mayai mia tatu yaan kuwalisha had watageElfu tatu mia tano. Nina mpango wa ku expand nimenunua eneo kubwa Kibaha ndio naliweka sawa kimiundombinu nihamishie nguvu zote huko
Unalengo la kufunga kuku wa mayai wangapMfugaji wa size ya kati ambaye naelekea kuwa mkubwa Inshallah
Acha kumkatisha tamaaEndelea kujifurahisha na kufurahisha wengine, ila kiuhalisia ni kwamba Huwezi kuwa na kuku laki moja...
Anaweza kufika but there is alot of work to be done and he need the at most and undivided attention kwenye project without any distractions.Time frame aliyojiwekea ni ndogo sana na pia hana mtaji zaidi ya hao kuku alionao. Angewekeza say milioni 200 kwa hiyo miaka mitatu angeweza kufikisha kuku laki moja ingawa bado ni ngumu. Ukiingia kwenye hii biashara ndio utaelewa
KaribuSawa mawazo mazur, vipi we ni mfugaji? Nataka nikuje PM
Mkuu yawezekana hiki ulichosema hapa ni ukweli kabisa kutokana na mazingira uliyopo na namna ambavyo unaichukulia pesa, watu tunatofautiana kabisa.Sio kumkatisha tamaa ni kuelezana ukweli tu. Kuku laki moja wanahitaji mtaji mkubwa sana zaidi ya milioni 500. Sasa hiyo time aliyojiwekea kufikia hiyo idadi si sahihi unless awe na mtaji kama milioni 250 kwa sasa awekeze ili akizalisha afikie hilo lengo....
Ni gharama za mradi mzima kutoa ununuzi wa eneoMkuu yawezekana hiki ulichosema hapa ni ukweli kabisa kutokana na mazingira uliyopo na namna ambavyo unaichukulia pesa, watu tunatofautiana kabisa.
Ila kuendesha mradi wa kuku 8000 kwa 60M, nilitaka nijue kama hiyo fedha imejumlisha na ununuaji wa eneo la ufugaji. Nauliza kwasababu 60M kwa kuku 8000 ni kubwa kidogo.
Ngoja nikupe mchanganuo wa mradi wangu wa broilersMkuu yawezekana hiki ulichosema hapa ni ukweli kabisa kutokana na mazingira uliyopo na namna ambavyo unaichukulia pesa, watu tunatofautiana kabisa.
Ila kuendesha mradi wa kuku 8000 kwa 60M, nilitaka nijue kama hiyo fedha imejumlisha na ununuaji wa eneo la ufugaji. Nauliza kwasababu 60M kwa kuku 8000 ni kubwa kidogo.
Chotara ni dili sanaNakutakia kila lakheri katika ufugaji ila anza nao taratibu ujue mbivu na mbichi za hiyo biashara. Mimi ni mfugaji wa kuku wa nyama na mayai. Nionavyo mie kwenye mazao ya ufugaji kuku, wenye faida sana ni kuku wa mayai wanafuatia broiler lisha hawa kuku chotora kisha wa mwisho wa kienyeji
Nlivyokuona tu umetia timu kwny huu uzi, nkajua tu hapa lazima tutakula madini.Mkuu unawazo zuri sana tena hadi nimependa arif,hizo ndio target za kiume unapoingia kufanya kitu unawaza mambo ambayo wengine wanaona Huwezi au unajitekenya mwenyewe...
Kuku wanaolika kwa wingi ni broiler ingawa faida yake si kubwa sana. Hao ndio wanaoliwa vyuoni, mitaani, harusini, mikutanoni n.kChotara ni dili sana
Mayai wa kienyeji au kisasaKuku wanaolika kwa wingi ni broiler ingawa faida yake si kubwa sana. Hao ndio wanaoliwa vyuoni, mitaani, harusini, mikutanoni n.k
Chotara kuna rafiki yangu alifuga 30,000 Morogoro na alikuja kuchemsha kwenye masoko. Fanya research utajua au uliza waliofanya hiyo biashara. Kuku dili ni wa mayai kama ukiwawezea faida ipo kubwa