Nataka utajiri wa giza, utajiri wa mkataba, utajiri wa mizimu ama majini, naomba connection

Skuizi vijana wengi wamekua wavivu grade 1
Vijana wanafanya sana kazi tena kazi ngumu.Unabeba zege masaa 12 kwa siku na unalipwa elfu 15.
Kazi ngumu malipo kiduchu,wanaamua kuwa maafisa ubashiri mnawatukana na kuwaona hawana akili.
Wanaenda kwenye siasa mnawaibia kura.
Wanatafuta ajira mnawaomba rushwa hili muwapatie kazi.
Mungu anawaona.
 
Unafikr hao wanaokaa kwa mawifi na mashemej wanaelewa
 
Yaani uishi miaka 5-10, nasikia unaingua mkataba wa kuishi miaka 5-10
 
Usiuze roho yako kwa sababu ya anasa ya dunia mkuu!!
 
Wewe umesha ijaribu hii njia?
 
Unaenda kwa mganga kutaka utajiri mganga anakusoma nyota anaona kuna nyota njema anaichukua na kukuchanja chale kukuwekea lishetani linaloua kila kitu chako na lenyewe ndio linakuwa linaonekana badala yako na kukufanya uwe na mali,nyota yako njema uliyoicha kwa mganga anaiuza kwa mtu anayetoa hela nyingi na kafara kubwa ili kufanikisha mambo yake,utakuwa tajiri baadae utajiri utaanza kushuka shetani litataka sadaka zaidi ya damu hasa za ndugu zako,utakaposhindwa tu ndipo utakufa na kivuli chako kitachukuliwa na lipepo litautwaa mwili wako tutakuona unaishi kumbe upo kuzimu unateseka.Acha ujinga pambana
 
Umetoa wap haabar za uongo kama hizi we fukara., Vijiwe vya kahawa ama grosari mkiwa mmmelewa, Kwamba nitishike ama vipi..pita kushoto ewe pepo la ufukara
 
Umetoa wap haabar za uongo kama hizi we fukara., Vijiwe vya kahawa ama grosari mkiwa mmmelewa, Kwamba nitishike ama vipi..pita kushoto ewe pepo la ufukara
Msenge wewe mimi nilishakuwa mganga kabla sijaaachana na hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…