Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Haujajibu swali mkuuSheria za kazi zipo na kama muajiriwa unapaswa kuzijua,..Tatizo waTz wengi hawashughuliki nazo kwa imani ya kuwa sector binafsi haifati sheria. Mimi nimefanya serikalini, shirika la umma na sasa sector binafsi..
Hata ningekuwa mimi ni HR ningeandaa barua ya wewe kuachishwa kazi hata unione snitch shauri yako. Sasa boss kanipa agizo mimi nifanyeje?Hahaaaa ,maHR wengi private sector ni nyuki wa mashineni , wazee wa kuburuzwa na kupewa maagizo ,halafu wengi ni masnitch
💯🤝Hakuna HR hapa 😂😂😂😂😂 anatafutwa mtu aliwe kichwa. Mtu ashapewa maagizo toka juu unakuja jf kufanya nn zaidi ya kutekeleza walichotaka maboss zako. Muda mwingine mkitunga mambo zingatieni Stori mnazoleta na sio kila mtu wa kumdanganya. Popoma mmoja
Ww ni HR by professional au imetokea tu kujikuta na icho cheo?Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Sasa wewe ndio mtaalamu, hujui nini cha kufanya?Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Woga tuWatu wanaongea tu hapa ila huu ndio ukweli. Unaleta ujuaji na agizo limetoka juu eti sheria mamáe ukamfundishe Bakhressa au watoto wake sheria ya ajira
Usijichoshe hakuna HR hapa hayo yote uliotaja labda akagoogle na akiweza kugoogle itabidi apate mtu wa kumtafsiriaWw ni HR by professional au imetokea tu kujikuta na icho cheo?
Kama ww ni professional HR washauri mabosi zako kisheria ilo suala limekaaje na possible outcome iwapo utafanya wanachotaka kukifanya.
Kama umejikuta kwenye icho cheo ni hivi kabla ya kufika hatua ya termination mfanyakazi yeyote alietenda kosa lolote ni lazima apate nafasi ya kusikilizwa, kujitetea, kuonywa na kupata uwakilishi kwenye vikao halali vya kinidhamu. Kinyume na hapo akienda CMA na kudai kafukuzwa kazi bila kufata utaratibu lazima ashinde. Ukiwa kama HR na ukaona uwezi kufata huo mlolongo wa vikao vya kinidhamu basi unampunguza kazi kwa kumpa notice au kumlipa mshahara in lieu of notice na kumlipa stahiki zake nyingine zote. Sababu ya kumpunguza kazi lazima iwe genuine. Pia kumbuka kisheria mwajiri akiwa na lengo la kupunguza wafanyakazi ni lazima awasiliane na chama cha wafanyakazi.
Nani anaziweka na hawakuwa na HR?Records zinakuwepo ofisi ya HR. Hata kama ana miaka miwili kuna Records za nyuma kwenye files...
Kuna sheria zinazolinda maslahi ya mfanya kazi tatizo mmezoea vibarua havina mkataba mkilipwa aftatu mmeridhikaWatu wanaongea tu hapa ila huu ndio ukweli. Unaleta ujuaji na agizo limetoka juu eti sheria mamáe ukamfundishe Bakhressa au watoto wake sheria ya ajira
Chelewesha ufukuzwe wewe.Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Washauri wampe barua ya onyo tu, labda akirudia kosa ndio afukuzweHabari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?
Next time use "WORRY NOT" instead ya "WORRY OUT"Subiri kurogwa tu... Maana inaonekana mwamba ana kitu ndio maana kafika mbali 17 years sio mchezo ktk kampuni... Utarogwa hadi kizaz chake kijacho... WORRY OUT FANYA KAZI NAKUTISHA
Kampuni usiwe na records!!!! Walikuwa wanaajiri vipi?? Wanalipaje? Mikataba ya ajira??!!Nani anaziweka na hawakuwa na HR?
Kwa mhasibu hizo rekodi. Rekodi za mienendo ya wafanyakazi huwa kwa HR.Kampuni usiwe na records!!!! Walikuwa wanaajiri vipi?? Wanalipaje? Mikataba ya ajira??!!
Next time... Focus on the CONTEXTNext time use "WORRY NOT" instead ya "WORRY OUT"
Soma Sheri ya ajira na mahusiano kazini kifungu namba 36 Hadi 44,umlipe stahiki zake basi mmalizane.Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii.
Bado hajui chochote na kwangu imekua ngumu kumwambia, NIFANYEJE wadau?