Natamani Dar ipate skyline kama miji hii ya Asia in the next 10 years

CCM Ikitoka Ni Haraka Tu Mambo Hayo Amini Ninalokwambia
Duh, ila sidhani kama CCM watakuja kutoka madarakani in our lifetime
Wameng'ang'ania madaraka, maana kama kungekuwa na uchaguzi halali 2025 CCM ingeshatolewa madarakani
Hata sasahivi wangeitisha uchaguzi wa haki, CCM wangetolewa madarakani
 
Baada ya Mwendazake kufuta mradi wa Kigamboni New City basi wawekezaji wakaenda kujenga hii inaitwa Ecko Atlantic City kwenye kisiwa Cha Lagos kama ilivyo Kigamboni.

View: https://www.instagram.com/reel/DW68CZ0DWBV/?igsh=MTR6YXJmMnQ3Z3dkbQ==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…