CBD ni area yenye occupancy kubwa unataka hizo skyline wajenge Goba au Mbezi!? Anyway Topic yako inaongolea skyline.Sasa huu ndio ushahidi kwamba majengo mengi Dar yako empty?
Hiyo ni study/project iliyofanywa kwa majengo machache in Dar CBD na haimaanishi Dar haina demand ya majengo
Ingekuwa mambo yako hivi kwa hii logic yako, sasa kwa nini ujenzi wa maghorofa Dar unaendelea wakati kuna majengo empty CBD?
Kama hiviMimi sijasema Dar majengo yajengwe bila matumizi. Nimesema tukuze private sector na investments ndio majengo yajengwe
Pia ushahidi uko wapi kwamba towers nyingi Dar ziko empty?
Kama hivyo ndivyo nani angejenga haya mapya?Majengo machache yaliyopo CBD na maeneo mengine ndani ya Dar es Salaam yako wazi, mengi yakiwa hayatumiki na yamebaki kama ‘dead towers’. Basi, unataka tena kujenga majengo marefu zaidi kwa matumizi gani hasa?
Huna lolote unalolijua. Kila mtu JF akiongea pumba anaishia kuandika utumbo kama huu ulioandika mwishoni ili uonekane smartLeta study yako.
Unaongea issues usizozifaham hapa. Uhitaji wa majengo Dar sio justification ya kuwa na skyscrappers.
Unfortunately you know nothing about urban design,redevelopment and planning.
Kwa Kizazi Kilichopo Sasa Hivi Uchaguzi Ukiwa Huru, Uwazi Na HakiDuh, ila sidhani kama CCM watakuja kutoka madarakani in our lifetime
Wameng'ang'ania madaraka, maana kama kungekuwa na uchaguzi halali 2025 CCM ingeshatolewa madarakani
Hata sasahivi wangeitisha uchaguzi wa haki, CCM wangetolewa madarakani
Hivi kwa nini mnakua wavivu kufikiria? We umeelewa nini kuhusu mada?
Kwamba zile Aya zako tatu ndio mtu ashindwe kuelewa ulichokuwa unamaanisha?Hivi kwa nini mnakua wavivu kufikiria? We umeelewa nini kuhusu mada?
Mfano, haya maghorofa yanajengwa Mbagala recently. Na haya mawili tu, yapo mengi sana yanayojengwaHayo majengo marefu mengi hapo mjini ni matupu unataka engine tena. Unahuo uchumi wa kukaa humo au kukodi kwaajili ya ofisi yako?
Hujaelewa ndio, tena hujaelewa hata kidogoKwamba zile Aya zako tatu ndio mtu ashindwe kuelewa ulichokuwa unamaanisha?
Nenda pale UN Tower Sinza kivulini kaangalie space zilizo wazi na NI miaka na miaka.
Unafikiri Tanzania hakuna matajiri wakujenga hayo madude?
Hujaelewa ndio, tena hujaelewa hata kidogo
Kwa nini maghorofa yanaendelea kujengwa Dar?
Mfano, haya maghorofa yanajengwa Mbagala recently. Na haya mawili tu, yapo mengi sana yanayojengwa
Kama Dar haihitaji maghorofa mengine kwa nini haya yanajengwa?
View attachment 3570424
Nimeanzisha kwa sababu natamani ziongezeke sababu nyingi zaidi za kujenga maghorofa Dar ili kasi ya ujenzi iwe kubwa kuliko sasahiviHili swali lako lingekiwa valid usingeanzisha huu Uzi.
Ila unajaribu kusema nini? Kwamba skyline ya Dar haiwezi kubadilika au?
Kwa hiyo ni vibaya kutamani shughuli za kiuchumi Dar kuongezeka kufikia miji hiyo niliyotaja?Skyline au zile skyscraper zinajengwa kulingana na uchumi wa Jamii husika na shughuli za kiuchumi zilizopo.
Hiyo miji uliyotaja angalia uchumi wa watu wake au shughuli kubwa za eneo husika.
Nimeanzisha kwa sababu natamani ziongezeke sababu nyingi zaidi za kujenga maghorofa Dar ili kasi ya ujenzi iwe kubwa kuliko sasahivi
Sijasema sasahivi tuanze kuijaza Dar na maghorofa bila sababu za msingi
Kwa hiyo ni vibaya kutamani shughuli za kiuchumi Dar kuongezeka kufikia miji hiyo niliyotaja?
Uchumi unakua na magorofa yanajengwaNimeanzisha kwa sababu natamani ziongezeke sababu nyingi zaidi za kujenga maghorofa Dar ili kasi ya ujenzi iwe kubwa kuliko sasahivi
Sijasema sasahivi tuanze kuijaza Dar na maghorofa bila sababu za msingi