Natamani Dar ipate skyline kama miji hii ya Asia in the next 10 years

Huna lolote unalolijua. Kila mtu JF akiongea pumba anaishia kuandika utumbo kama huu ulioandika mwishoni ili uonekane smart
Huelewi chochote unachoandika upuuzi mtupu 🚮
We ni mpumbafu tu.
Jibu hoja leta study/research yako uliyoifanya unaongea kama umekatwa kichwa.
Watu wamefanya academic research wewe unaleta ngonjera hapa.
 
We ni mpumbafu tu.
Jibu hoja leta study/research yako uliyoifanya unaongea kama umekatwa kichwa.
Watu wamefanya academic research wewe unaleta ngonjera hapa.
Sawa mkuu upo sahihi
 
Kwa hawa wabunge wenu kina salma kikwete, kijakazi, wanu n.k?!
Na meya SHETTA?!
 
Tunataka barabara za watembea kwa miguu Dar kama Addis Ababa, Ethiopia.
Kuna maeneo mengi sana Dar hawajaweka barabara za watembea kwa miguu ila wameweka pavements pembeni ya barabara kwa watembea kwa miguu
Lakini still on busy day unastruggle kupita kwa sababu watu wanatumia hayo maeneo kufanyia biashara
 
Tanzania inatakiwa tu deal na skyline ya maisha ya wananchi kwanza kabla ya kuhamia kwenye majengo.
Mkuu,

In fact maendeleo ya uchumi wa watu ndiyo yanayotengeneza demand ya kujenga hiyo skyline.

Ama sivyo utaishia kujenga majengo ya office space wakati hakuna makampuni ya kuitumia hiyo excess office space, unakuwa na maghorofa ambayo yamejengwa kwa gharama kubwa halafu hakuna anayemudu kuyalipia kodi (rent) ili madeni ya mortgage yalipwe.

Ukinyanyua uchumi wa watu, skyline nzuri itakuja yenyewe almost automatically kwa sababu economic activities zita create demand ambayo itasababisha skyline ijengeke tu.

So focusing on the skyline before focusing on the econony that will build that skyline is putting the cart before the horse.

Dar ilikuwa inakwenda vizuri mkaanza ujinga wa kuhamisha mji mkuu kwenda Dodoma bila sababu ya maana kiuchumi.
 
Ndio maana yangu
Natamani shughuli za kiuchumi zikue Dar ili demand ya high rising buildings iongezeke then mji ujengeke
Sio kwamba nataka yajengwe majengo marefu mengi bila plan, hapana
 
Ndio maana yangu
Natamani shughuli za kiuchumi zikue Dar ili demand ya high rising buildings iongezeke then mji ujengeke
Sio kwamba nataka yajengwe majengo marefu mengi bila plan, hapana
Tusisahahu pia kuipangalia Dar iwe livable city kama Windohek, Kigali na Addis Ababa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…