Natamani Dar ipate skyline kama miji hii ya Asia in the next 10 years

Mimi naomba kuuliza hiyo mito inayopita kati kati ya miji ya nchi zilizoendelea huwa imechepushwa/kutengenezwa(man made) au ni mito ya asili ulikuwepo tangu mwanzo Kwa hiyo mji umeukuta mto!!??? Na je,Kwa nchi yetu tunaweza kuwa na mito ya namna hiyo katikati ya mji au geography yetu hairuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…