johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siyo rahisi kama unavyofikiria!Hayo uliyo ya taja + kigoma + pemba hayahitaji hata tume huru
Ni kwamba tayari ni mawaziri wa wizara nyeti za Lissu
Hapo ukitoa karatu,kawe na arusha mjini haya mengne CDM wanashinda more than 70%Siyo rahisi kama unavyofikiria!
Huko ndio kwenye changamoto!Hivi wabunge waupinzani wanaotarajiwa ni hawa tu?
Nimekuelewa bwashee!Ndugu yangu uchaguzi utakuwa huru na halali lakini ninawasiwasi kama Chadema itapata hata robo ya majimbo hayo uliyoyataja. Mungu akitujalia uzima tutaona
28 October tutapata uhakika bwashee!Kule tarime vijijini ccm imebanwa mbavu mpaka imelazimika kuomba msaada tume na polis angalau wa mbakinis kesi watu walioko kwenye ngome ya heche...mwita waiatara katulizwa vibaya
Kwingineko CCM ina nguvu sana bwashee!Kwingineko ni sawa tu ccm wakipewa ushindi na NEC?
Kwa mujibu wa mbunge mstaafu wa CHADEMA mh Lijualikali ni kwamba wabunge wa CHADEMA huwa wanashinda kwa mbinu za gizani.Kwahiyo umeshajua uchaguzi sio huru na haki kwa ujumla wake, ila unataka majimbo hayo tu ndio uwe huru na haki. Kwa taarifa yako uchaguzi huu ukiwa huru na haki, hakuna uwezekano wa Cdm au ccm kushinda kwa zaidi ya 55%@. Na ikitokea hivyo ujue uchaguzi ujao ndio mwisho wa ccm. Ccm sio chama cha kizazi hiki, bali vyombo vya dola tu ndio vinaibeba.