johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
CHADEMA hawaaminiki bwashee Lijualikali alitoa siri!Uchaguzi ukiwa uhuru wapinzani wataishangazi CCM mpaka mzee wa chato atabinuliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA hawaaminiki bwashee Lijualikali alitoa siri!Uchaguzi ukiwa uhuru wapinzani wataishangazi CCM mpaka mzee wa chato atabinuliwa.
wapenda haki , demokrasia na wapinga uonevuChadema inapendwa na nani bwashee?
Wakiita watu na lijualikali utamuhesabu?CHADEMA hawaaminiki bwashee Lijualikali alitoa siri!
Chadema kuna haki?!wapenda haki , demokrasia na wapinga uonevu
Lijualikali alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema!Wakiita watu na lijualikali utamuhesabu?
Ni majimbo yanayo mnyima usingizi kila mjumbe wa tume wakiwemo wakurugenzi wa miji. Ni majimbo ambayo ushindi hautatambuliwa kwa hesabu ya kura, swala la kumwagika damu wa kuliepusha hajapatikana.Ni majimbo yafuatayo:
1. Kawe
2. Mikumi
3. Iringa mjini
4. Mbeya mjini
5. Tunduma
6. Hai
7. Karatu
8. Bunda
9. Tarime mjini
10. Tarime vijijini
11. Arusha mjini
Natamani kuona nguvu ya wapinzani katika maeneo haya "kiuhalali" kabisa kwa sababu majisifu yao yamezidi sasa.
Maendeleo hayana vyama!
Tulia hatashinda lakini ndie mbunge wa mbeya mjini. Ukiwa na swali waulize wana Tabora 2015 nani alishinda na kwa vipi alieshindwa alienda bungeni.Hapo ukitoa karatu,kawe na arusha mjini haya mengne CDM wanashinda more than 70%
Wakuonea huruma zaidi ni Tulia,kashikwa vibaya sana.
By then, not now ambapo amegeuka kuwa nyang'au! He is undergoing backward evolution! Ukienda Ulaya hasa nchi zilizostaarabika kama Sweden, kama ulitoka Bongo unatema mate barabarani, kule mazingira ya watu na nchi yao, huwezi kutea mate! You evolve upwards!Lijualikali alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema!