Endelea kuota mchana!Kwahiyo umeshajua uchaguzi sio huru na haki kwa ujumla wake, ila unataka majimbo hayo tu ndio uwe huru na haki. Kwa taarifa yako uchaguzi huu ukiwa huru na haki, hakuna uwezekano wa Cdm au ccm kushinda kwa zaidi ya 55%@. Na ikitokea hivyo ujue uchaguzi ujao ndio mwisho wa ccm. Ccm sio chama cha kizazi hiki, bali vyombo vya dola tu ndio vinaibeba.
Mkuu tindo tunakakiwa tuishinde CCM mwaka huu, tukishindwa tutachukua muda mrefu zaidi, Tulia chini bila ushabiki safu ya wagombea ni kizazi chetu tuu 28 mpaka 37 asili mia 80. Suala la kizazi kependelea chadema linaondoka baada ya uchaguzi huu.Kwahiyo umeshajua uchaguzi sio huru na haki kwa ujumla wake, ila unataka majimbo hayo tu ndio uwe huru na haki. Kwa taarifa yako uchaguzi huu ukiwa huru na haki, hakuna uwezekano wa Cdm au ccm kushinda kwa zaidi ya 55%@. Na ikitokea hivyo ujue uchaguzi ujao ndio mwisho wa ccm. Ccm sio chama cha kizazi hiki, bali vyombo vya dola tu ndio vinaibeba.
Natamani uchaguzi uwe huru-ahsante kwa admission kuwa uchaguzi kawaida hauko huru.Natamani katika haya majimbo 11 ya Ubunge uchaguzi uwe Huru na wa Haki ili nipime nguvu ya upinzani Tanzania!
kuona nguvu ya wapinzani katika maeneo haya "kiuhalali" kabisa kwa sababu majisifu yao yamezidi sasa.
Lema umpe wizara aongoze, umelewa weweHayo uliyo ya taja + kigoma + pemba hayahitaji hata tume huru
Ni kwamba tayari ni mawaziri wa wizara nyeti za Lissu
Kwa mujibu wa mbunge mstaafu wa Chadema mh Lijualikali ni kwamba wabunge wa Chadema huwa wanashinda kwa mbinu za gizani.
Kwa sababuSiyo rahisi kama unavyofikiria!
Bwana yule atashindaje unafikiri hawajuwiKwanini hutaki uchaguzi wa haki kwenye uRais
Msipende kurahisisha mambo kupita kiasi.Hayo uliyo ya taja + kigoma + pemba hayahitaji hata tume huru
Ni kwamba tayari ni mawaziri wa wizara nyeti za Lissu
Kuhusu Msukuma sahau kabisa,jamaa hapigi hata kampeni Kama ilivyokuwa 2015,hana hoja za maana bungeni Ila bado ataendelea kuwa mbunge.Ningependa kuwaona ndugai, Mwigulu na Msukuma, wakipigwa chini huko majimboni. Maana hawa wamelewa madaraka sana.
Chadema tutapata wabunge sehemu nyingi hapa nchini. Mikoa ya Mara, Katavi, kagera, Rukwa, Mbeya, Arusha, Dsm, Kilimanjaro, Mwanza, Iringa, Singida, Morogoro, Manyara kigoma (kwa upinzani hata kama sio chadema) na Geita. Huko mchuano ni mkali.
Tanga, Dodoma, Ruvuma, Lindi, Mtwara, Shinyanga, Njombe, Pwani, na Tabora huko tukipata hata mbunge mmoja itakuwa ni bonus. Kwa tathimini pamoja na mazingira magumu na figisufigisu hatutakiwi kukosa wabunge 50+. Na hao inabidi tukaze kweli kweli.
Nilijifunza kwa Lijualikali pale Kilombero 2015!Kumbe unajua ukweli kuwa mara nyingi hakunaga 'uhuru na haki'... hongera kwa toba bwashee.
Chadema inapendwa na nani bwashee?I can assure you, hakuna anayeipenda CCM, ukiacha yale matakataka yasiyojua kusoma na kuandika na wanaonufaika na utawala huu!.