Uchaguzi 2020 Natamani katika haya majimbo 11 ya Ubunge uchaguzi uwe Huru na wa Haki ili nipime nguvu ya upinzani Tanzania!

Ni majimbo yanayo mnyima usingizi kila mjumbe wa tume wakiwemo wakurugenzi wa miji. Ni majimbo ambayo ushindi hautatambuliwa kwa hesabu ya kura, swala la kumwagika damu wa kuliepusha hajapatikana.
 
Hapo ukitoa karatu,kawe na arusha mjini haya mengne CDM wanashinda more than 70%
Wakuonea huruma zaidi ni Tulia,kashikwa vibaya sana.
Tulia hatashinda lakini ndie mbunge wa mbeya mjini. Ukiwa na swali waulize wana Tabora 2015 nani alishinda na kwa vipi alieshindwa alienda bungeni.
 
Watumishi wote kura ni kwa lissu.Mmeteseka sana miaka 5 bila kupata stahiki zenu.
 
Lijualikali alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema!
By then, not now ambapo amegeuka kuwa nyang'au! He is undergoing backward evolution! Ukienda Ulaya hasa nchi zilizostaarabika kama Sweden, kama ulitoka Bongo unatema mate barabarani, kule mazingira ya watu na nchi yao, huwezi kutea mate! You evolve upwards!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…