Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Status
Not open for further replies.
Kama ndo kazi mnazofanya hiyo taasis ni kikundi Cha majambazi
 
Kama Wewe ni TISS Agent kweli basi ulikuwa wrong recruited huko Idarani Kwani ukipitia tu hiki Ulichokiandika hapa utagundua hauna Akili na kama huna Akili pia huwezi kuwa Analytical kwa Hoja zako halafu huna Maadili ya Kiapo chako.

Na kwa Saikolojia yangu Kali na iliyotukuka nimegundua pia kuwa you might be suffering from a Maniac Bipolar hivyo nashauri wahi Milembe Mental Hospital Dodoma au Lutindi Mental Hospital Tanga ukaanze Tiba yako ya awali kabla haijawa Hatari zaidi.
 
Hata Snowden alitema nyongo baada ya kuona Kuna mambo hayako sawa tuacheni unafki
 
Huu ni upan'gang'a tu ukisoma post zake za nyuma ndo utamjua
 

Siyo TISS huyu, ni kibaka tu anayetafuta attention humu! TISS wana miiko yao, hawawezi kuja kuropoka humu! Hawa ni magenge ya wavuta bangi tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mtu mmoja hawezi kushiriki hizo OP zote ndani ya miaka 3

Pole saana kwa stress za kukosa nafasi tiss kitu ambacho kimefanya uwachukie mm mwenyewe nachukia jeshi letu hili dhaifu baada ya jamaa wa ikulu kushindwa kunipeleka MSATA nikale kozi ya ajira JW [emoji24][emoji24]
 
Nusu niangushe gari kwenye mtaro ni huyu huyu
 
Mkuu Genta, inaonesha wewe ni mtaalamu wa afya, huu ugonjwa uliouandika unahusika na nini(Maniac Bipolar) ufafanuzi tafadhali
 
Hata mimi nataka kuancha kazi ya huu uwaziri niliokuwa nao,muda si mrefu najiuzuru,nchi ni vululu vululu tu,nikishauri sisikilizwii,yakiharibika nalaumiwa mimi,yaani ni ovyo ovyo tu,bora nikalime vitunguu huko kwetu ruaha
 
Kama lengo ni kutapeli watu basi umeshafeli, Tiss hupikwa wakapikika hawez kuja hapa kuandika rubbish....Peace of mind ni nini? Hapa maskin Hana peace of mind.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…