Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Status
Not open for further replies.
Si muliwaua akina ben sanane na damu yao inawalilia
 
Unawapongeza kwa kazi ipi ya maana walifanya.rushwa kila sehemu,maliasili yanatoroshwa kila siku na wao wpo wapo tu
 
Kama kweli wewe unafanya kazi hiyo Nina uhakika wa asilimia zaidi ya 90, wewe ni miongoni mwa wale vijana kutoka JKT waliojenga ukuta, ikulu, uwanja kule morogoro then mkasombwa Kama mahindi kupelekwa Kozi. Hauna sifa ya kuwa hapo ila ujenzi ulikubeba na kujikuta unafanya kazi isiyo na uhusiano na wewe.
 
Wabongo sijuinwakoje yan....badala ya kumsifu mtoa mada yanamgeuka tena...inamaana yanapenda kuendelea kutekwa na kuuliwa kwa kuipinga CCM??
Kwa aina hii ya watanzania CCM itakuwepo mpaka mwaka 3700
Tanzania Kuna mtaji Mkubwa wa wajinga ukweli uko wazi TISS wako bize kupambana na wapinzani wa ccm na sio maslai ya Tanzania
 
Damu ina mdomo?
Hata mshahara wa kwanza bado tayari unavimba hivyo kijana?

Bado haujakaa... Kiti chako hakipo... Acha ujinga ujinga huu wa kujikweza kipuuzi.

It's high time to live in your reality now... Otherwise utarudi kwenye vijiwe vyako vya udalali... Nipo nimekaa paleee..
 
Tanzania Kuna mtaji Mkubwa wa wajinga ukweli uko wazi TISS wako bize kupambana na wapinzani wa ccm na sio maslai ya Tanzania
Snowden marekani anaonekana hero, bongo angeonekana msaliti
 
Peace of mind
regretting
kama unaua watu. Unaweza kujuta and I know most of Tiss wanaotumika kuua watu ni wale ambao hamna vyeo vya maana

so kiroho lazima uandamwe na kukosa Furaha ya Maisha
 
Aisee huyu ni jini mahaba walah
na kama ataendelea kupost nyuzi za hivi kuchafua kazi za watu, mmh.
na alivyo popoma, anaweka namba za simu et atumiwe hela ahahah huyu atakuja kutumiwa combola, na hapo ndipo atajua maana ya TISS
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…