AnajuaAkiwa amejua
KUDADEEKI, HII NDIYO AVATOR YA KUSHANGAZA KULIKO ZOTE HUMUHabarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.
Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.
Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.
NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.
Hivi hakuna la maana unacho waza zaidi ya matumbo? Kila muda kufunga kufunga, haya wewe mtaalamu wa kufunga tangu umeacha kula mchana hadi umri uliokuwa nao sasa umeongezeka nini kupitia hayo maigizo yako ya funga.Unasema unafunga huku unasengenya na kufatilia maisha ya watu. Kula na wewe ukidhi tamaa yako.Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.
Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.
Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.
NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.
Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
Mmepewa bundle la bure? Bwana Akijua? Na Bi. Amejua😅Akijua?
Nenda inbox muyajenge ili muusogeze muda vizuriHehehe tunasogeza muda mbele
PoaNenda inbox muyajenge ili muusogeze muda vizuri
Haina formulaHabarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.
Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.
Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.
NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.
Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
Kufunga hakuna maana yeyote na wala si thawabu, funga kama unataka hakuna wa kukulazimisha.Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.
Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.
Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.
NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.
Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
Ukimsoma vizuri kuna negative connotations kwenye andiko lake. Ni kama vile anataka kusema kwamba huyu mzee wa Kigalatia anaharibu funga yake maana anakula kabla ya muda sahihi kama inavyotakiwa kwa wavaa kobazi. Na si ajabu yataibuka mapambano ya kidini hapa sasa hivi!Itamsaidia kujua
Pipa na mfuniko mmekutana nini hichi sasaAnajua
Ukimsoma vizuri kuna negative connotations kwenye andiko lake. Ni kama vile anataka kusema kwamba huyu mzee wa Kigalatia anaharibu funga yake maana anakula kabla ya muda sahihi kama inavyotakiwa kwa wavaa kobazi. Na si ajabu yataibuka mapambano ya kidini hapa sasa hivi!
Anyway. Kwa Wagalatia huku kufunga hakuna sheria ngumu kivile. Unaweza kujichagulia mwenyewe jinsi ya kuendesha funga yako. Unaweza kunywa maji tu. Au kupunguza tu baadhi ya milo isiyo ya lazima. Au hata kula ikifika saa 11 au saa 11:30 jioni maana Wagalatia hawana mambo ya daku wala nini. Na kufunga siyo vyakula tu. Unaweza kufunga kunywa bia au soda. Kitu cho chote ambacho siyo cha lazima. Na hela hizo ukazipeleka kwa wenye uhitaji.
Kwa ujumla tu, kwa Wagalatia huku mambo hayajakaa kihafidhina kama huko kwingine. Hivyo huyo mzee yuko sahihi.
Sijakuona kitambo mzee wa kiepePipa na mfuniko mmekutana nini hichi sasa