Natamani kujua muda sahihi wa Wakristo kufuturu

Nimekupata mkuu ndio elimu niliyokuwa nataka sio kwa ubaya
Sijui kwa wengine, binafsi yangu nafungua kinywa saa 1830 ila ikishafika saa 0000 siweki chochote mpaka kesho tena muda huo wa saa 1830 na kuendelea.
 
Hakuna andiko kwenye Biblia la kufunga wala kufungua...

Hili sasa ndio jibu sahihi.

Ibada za Wakristo hazina asili kutoka kwa Yesu, ndio maana hazieleweki. Na kila mmoja anafanya anavyo jua na hii si sawa.

Hapo ukimuuliza Mkristo, mafundisho ya ibada yenu mnayatoa kwa nani hawakupi majibu.

Sababu wanajinasibu na Yesu, ilitakiwa kila jambo wanalolifanya liwe limefundishwa na Yesu moja kwa moja.
 

Acheni kona na kujitetea. Ukweli ni kwamba hamna andiko linalo elekeza namna ya kufunga wala kufungua, ndio maana mnajiamulia. Sasa huwa tunajiuliza ibada zenu zitakubaliwa vipi wakati hamna mafundisho ya moja kwa moja toka Yesu.

Katika ibada kongwe dunianii ni ibada ya kufunga,asikudanganye mtu, na katika msingi wa ibada ya funga ni kujizuia na kula na mambo maovu yote. Hakuna kufunga kuzini, au kuiba au kutukana pasi na kufunga kula.

Kwa ufupi, hamna mafudisho ya ibada zenu toka kwa Yesu, na hii sio kwamba mmependa bali hamna mafundisho hayo. Ndio maana ibada zenu kila mtu anatunga lake tu. Hili ni tatizo kubwa.
 

😂😂 Shimba ya Buyenze usijifanye hii comment hujaiona
 
Mkuu binafsi nimekuelewa.
Angalau naweza kujifunza kitu.
Sasa mwongozo wa kufunga kwa mwenendo huo upo kimaandishi au inakuwaje, maana kila mmoja kati ya jamaa zangu ninayemuuliza naona ana majibu tofauti.
Tufafanulie japo kwa uchache
 
Aiseee, kwahiyo kuna wagalatia na wavaa kobaz!!😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…