Natamani kujua muda sahihi wa Wakristo kufuturu

Shukran mkuuu, kama hivi tunapata elimu, din sio ugomvi au malubano
 
Mm nimeuliza tu, mbona kuna wengi wanauliza kutoka uislam na wanaelekezwa kwanini unapouliza ukristo uonekane kama unanongwa. Na hii naonaga hata mtaani mkristo anaweza akamuliza jambo fulani uislam na akamjibu vizuri tu bila hata ya kupaniki, ila sasa uliza wew ndio kama huyu.

Mbona waungwana wanatoa elimu safi
 
Mzee Hana tabia ya kulakula tena ucku kama wavaa kobaz ni hadi Kesho yake
 
Wagalatia ndio wakina nani? Ni kweli hawana akili na wamerogwa?
 
Ninavyojua funga ya wakristo ni kujibana, sio kuacha kula kabisa kutwa nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…