Kindred Spirit
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 457
- 666
Kufunga si lazima iwe kula tu, umeieleza vizuri kuwa anaiangalia funga ya Quaresma kwa jicho la Kiislamu ilhali kumbe mtu anaweza hata akafunga kuachana na smartphone tu kipindi hicho cha 40days na ndiyo ikawa funga yake.Tatizo unaungalia ukristo na funga yake kwa jicho la uislamu na funga(ramadhani) yake
Pale msalabani alimaliza kila kitu 👌. Sisi wenzako tushanunuliwa kwa damu ya thamani sana.Hili sasa ndio jibu sahihi.
Ibada za Wakristo hazina asili kutoka kwa Yesu, ndio maana hazieleweki. Na kila mmoja anafanya anavyo jua na hii si sawa.
Hapo ukimuuliza Mkristo, mafundisho ya ibada yenu mnayatoa kwa nani hawakupi majibu.
Sababu wanajinasibu na Yesu, ilitakiwa kila jambo wanalolifanya liwe limefundishwa na Yesu moja kwa moja.
Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.
Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.
Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.
NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.
Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
🤣🤣🤣NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU
Kausha basi Jojo nawe kha! Nimeiona nikakausha. Nitajibu nini sasa kwa spana hizi kali? Watu wamesomea haya mambo. Niwache! 😂😂😂😂😂 Shimba ya Buyenze usijifanye hii comment hujaiona
Kibiblia hakuna andiko linalotoa muda sahihi sasa mimi niliamua kumuuliza padri mmoja akanijibu kama nilivyokujibu kwamba mkristo wa kweli anatakiwa awe na ile ratiba yake ya chakula cha usiku kikawaida bila kuibadili kwa kisingizio chochote. Nilipouliza zaidi alinijibu fanya lolote lakini siku ikibadilika ikukute umeshakula alafu uendelee hivyohivyo mpaka jua likizama ndipo unaruhusiwa kula tena.Mkuu binafsi nimekuelewa.
Angalau naweza kujifunza kitu.
Sasa mwongozo wa kufunga kwa mwenendo huo upo kimaandishi au inakuwaje, maana kila mmoja kati ya jamaa zangu ninayemuuliza naona ana majibu tofauti.
Tufafanulie japo kwa uchache
Siku tatu bila kula chochote si inawezekana nikafa mkuu?😁Mkristo anaweza kufunga hata siku 3 bila yaani hali chochote mfano kuanzia jumatano anakuja kufungua/kula ijumaa. So funga ya sisi Wakristo inaweza kumaanisha mambo tofauti tofauti sana wala usiumize kichwa kujiuliza sana. Huyo mzee yuko sawa tu.
Hilo Neno kiepe itakua unaliandika andika Sana kwenye simu yako kwahyo keyboard yako imezoea, wewe sasa ndio zee la kiepeKiepe i meant kipepe 😂
Typing error
Pale msalabani alimaliza kila kitu 👌. Sisi wenzako tushanunuliwa kwa damu ya thamani sana.
Roma ndio kanisa mama, hili utake au usitake.Waluofunga huu mfungo unaoitwa kwaresma sio wa Kristo. Hao ni wa Roma. unadhani wakatoliki ni wa Kristo?
Hawana mda maalum wakihisi njaa tu wanapakia shehena kwa tumboHabarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.
Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.
Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.
NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.
Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
🙄🙄Hakuna dini ya hivyo kijana, na kila mtu atabeba mzigo wake.
Hakuna kubebewa mzigo yaani Wakristo sijui akili zenu mnazitumia kwa mambo gani ?
Hakikisheni mnapata mafundisho sahihi aliyoyafundisha Yesu kuhusu dini yenu, sio kina Paulo.
Sawa wewe Mkristo uliyetokea kwa wasio WakristoWaluofunga huu mfungo unaoitwa kwaresma sio wa Kristo. Hao ni wa Roma. unadhani wakatoliki ni wa Kristo?
Wanafunga kweli? Mbona vibao vya vyumba vimejaa havigeuzwiHabarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale, lakini ofisi zote za pale tupo changanyikeni wakristo kwa waislam, ila kwa upande wa wakristo namuona mzee mmoja wa makamo ndio anaofunga tuu.
Sasa huyu mzee wa makamo alivyoonza tukawa tunafuturu wote pamoja, ila kuna siku ananishangaza kidogo anafuturu hata saa 5:50 jioni.
Yaani akimuona tu yule muuza futari anapita kuchukua oda basi mzee anamwambia niletee na kwemi baada ya dakika 10 futari imefika mzee anafuturu ukiangalia saa ni 5:45 au 5:55.
NINACHOWEZA SEMA KWAMBA HUYU MZEE KUFUTURU INATEGEMEA NA MUUZA FUTARI KAPITA MUDA GANI, YAAN HANA MUDA MAALUM WA KUFUTURU.
Ndio nimekuja na jambo hili nataka ufafanuzi wenu wakuuu
unadhani uKristo ni dini? RC ni dini tu kama zile ambazo zilikwepo duniani kabla hata Kristo hajaja duniani katika mwili. Kazi ya dini ni kumuua Yesu, hata leo zinamuua.Sawa wewe Mkristo uliyetokea kwa wasio Wakristo
Mlivyojutahidi sasa kutafsiri hiyo maana ya kuzaliwa upya! Si kwa level hiyo ya kujihesabia haki. Poleni sanaunadhani uKristo ni dini? RC ni dini tu kama zile ambazo zilikwepo duniani kabla hata Kristo hajaja duniani katika mwili. Kazi ya dini ni kumuua Yesu, hata leo zinamuua.
Na jambo la uhakika ni kuwa Usipozaliwa mara pili huwezi kuuona ufalme wa Mungu, kamwe! YOHANA 3:3-5