Natamani kujua ushawishi wa kanisa katoliki katika utawala na usalama wa dunia

Historia gani hiyo?, nimesoma na sijaona sehemu Kanisa Katoliki lilipotawala Dunia,
Naomba link kaka nikaisome

Kanisa katoliki walitawala dunia zamani hata Marekani haijavum buliwa
walikuwa wanatawala Ulaya na dumia kwa ujumla
kama umewahi sikia Roman Empire ...
Sasa waingereza walipoanza kupata nguvu wakajitenga ndo wakaanzisha kanisa lao
'Anglican Church....Anglo ndo English....
Wajerumani wakahamia Lutheran....nao ili wawe huru na Rome ambayo iko Italy na ndo Vatican
Wafaransa wakafanya mapinduzi ndo ikawa nchi ya kwanza kuwa na Rais...
ingawa wakabaki wakatoliki...

Waingereza waliokuwa wanampinga Mfalme wakapenda sana wazo la kuwa
Republic na kuwa na na Rais kama ufaransa
wakahamia USA.. USA zamani iliitwa 'New England'

historia iko ndefu na ina mengi....
 
Nadhani unachanganya Roman empire na Kanisa Katoliki, Roman empire walitawala dunia kabla hayanya Yesu kuzaliwa na waliendelea kwa kipindi kadhaa baada ya Yesu,

Naomba ushahidi wa Kanisa kutawala Dunia
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu,kuna mtu aliwahi kuniuliza "KWANINI TUNA MAWAZIRI WACHACHE WAKATI WABUNGE NI WENGI?"
 
Mkuu utapoteza muda wako..hata maana ya cassock hajui....Atakusumbua tuu...
 
Nyie watu mmejaa uongo...... hizo elimu zenu mmesomea wapi? au ni hulka ya watZ kuwa wasemaji wa kila jambo..... hakuna mkuu wowote wa shirika lolote anayechaguliwa for life! ulizeni muelimishwe!
Unachopinga hasa nini..???
 
Hata Makamu wa Sasa hivi wa Trump ni Mkatoloki
 
Yani uongo wako umeuweka kijanja sana....
 
Nadhani unachanganya Roman empire na Kanisa Katoliki, Roman empire walitawala dunia kabla hayanya Yesu kuzaliwa na waliendelea kwa kipindi kadhaa baada ya Yesu,

Naomba ushahidi wa Kanisa kutawala Dunia
Hawezi kukupa huyo...
 
Vatcan ipo ndani ya mji wa Rome. Ni eneo ambalo alizawadiwa askofu ambaye ni pope na mfalme wa Italy. Alizawadiwa kama papa na si mtu binafsi kwa hiyo mpaka leo hii anayechaguliwa kua papa ndiye anayekua Raisi wa Vatcan na sio lazima awe Raia wa pale. Mfano papa francis yeye ni raia wa Argentina
 
Mkuu Roman empire sio Roman Catholic Ile iliyiyotawala dunia ilikuwa political institution 27BC to 393AD hii nyingine ni religious institution. Hii mipango yake Mingi iko background hata wakisema inatawala dunia sio direct ni indirect na ukitraceback huwaoni unakutana na taasisi nyingine tu.
 

Je watu wanapataje uraia wa Vatican wakati raia wa Vatican hawazai?
 

Raia wa Vatican sio lazima aishi Vatican. Pope Francis ni raia wa Vatican hata kable hajawa Pope. Makardinali wote ni raia wa vatican
 

Kaka pia fanya masahihisho kidogo, hakuna ROMAN CHURCH bali kuna CATHOLIC CHURCH
 
mkuu inaelekea una nyeti embu funguka plse very potenteo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…