Natamani kumuona member huyu nipo tayari tuonane

Atampata, muda ukifika. Lol
Shida mwanaume wa sasa ukimjia na gia hiyo ana kukimbia muache mwanaume aseme yeye nataka nikuoe lakino sio wewe kila ukimpigia mwanaume simu unakuja lini nyumbani anakuomba utamu unasema peleka barua kwanza nan atakaa hapo? Sasa ufanye hivyo uwe pisi kama paula ila kafupi kama nguchiro duh utachelewa
 
Kafupi alafu kabishi hatari na kiburi juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…