Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #81
Liongoo ndo mana linachukiaHeee kumbe huwa una kasirika๐
Sijui kama yupo hivyo bwasheeAkili yake haipo sawa anategemea uchi kuishi bila shaka
Ni ajabu una anzisha uzi kila mchangiaji ana andika kupinga mada.Niyakanyage Kwa nani
๐๐๐Mambo uyapendayo hayo ๐
Mimi na wewe wote tuna matatizo,Aisee yaani hizi I'd za kike zina matatizo sasa mtu unaanzisha mada ya kitoto kama hii halafu unaanza ku quote na ku reply kila comment huoni hiyo ni tatizo?
Marry Diana
Ndio nakwambia kwanini aje atafute uku wanaume mtaani kwake hawapo?Sijui kama yupo hivyo bwashee
๐น๐น๐น Weeeh kumbe!!Hana maisha hayooo huyu ni kajamba Nani tu kama mm๐
Picha yako iko wapiHuyo kwenye picha ni wewe? Hakuna mwanamke hapo. Kienyeji pure kabisa. Umekaa kisukuma labda uwapate wasukuma wenzako.
Akuuu,๐๐น๐น๐น Weeeh kumbe!!
Mpe hata shavu aguse bhasi..!!
Acha uongo dogo. Upo Marekani ya Ikungi na miwani yako au? ๐๐Hii nakujibu kwa wivu mkubwa mimi nipo marekani ni daktari mwanafunzi now nipo jeshi kwa mafunzo na nalipwa pesa ndefu wewe kiazi unaniwaza ? Baba yangu anayo pesa mama pia akula pesa ndefu bongo bado urithi wa babu, acha ufala fuata mambo yako kiazi wewe
Wewe wakuhurumiwa kabisaAkuuu,๐
Nyie wivu unawasumbua hamna lolote..!! ๐น๐นKupewa UTI sio
Ww je,hujihurumiiWewe wakuhurumiwa kabisa
Upo Selaaa. Unaendeleaje Winga? ๐๐Mmoja mmoja ndio mpango, tulia kwenye foleni ๐น๐น
Huyo sidhani kama ni Mwanamke ni dume๐๐Anakela uyo mchangien heka asuke kwanza
Kajinga wewe๐Nyie wivu unawasumbua hamna lolote..!! ๐น๐น
Kama unajijua umechelewa acha makasiriko panga foleni. Wote mtafikiwa..!! ๐คฃ
Wamekuja na id's tofauti kutwa kunisumbuaNyie wivu unawasumbua hamna lolote..!! ๐น๐น
Kama unajijua umechelewa acha makasiriko panga foleni. Wote mtafikiwa..!! ๐คฃ
Ahahah uncle T kumbe sekeblekeHuyo sidhani kama ni Mwanamke ni dume๐๐
Wanakusumbua au unawasumbua ๐ facebookWamekuja na id's tofauti kutwa kunisumbua
Upo kidume? ๐๐๐๐ naona unawaseti tu mapoyoyo ya JF ili uyapige? ๐๐๐Nyie wivu unawasumbua hamna lolote..!! ๐น๐น
Kama unajijua umechelewa acha makasiriko panga foleni. Wote mtafikiwa..!! ๐คฃ