Natamani kupenda tena

Duh
 
Sifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Sasa ulivyo si pamoja na chura mama huwezi ukaiweka chura pembeni afu uwe wewe
 
Jaribu kujishusha kidogo ili kutoa hiyo hofu waliyojijengea watu wengine dhidi yako
 
Poooooole uenda tatzo unatafut mvuto kwa wanaume hutopat. Ila anayejua thamani ya mwanamke mwenywe utanikumbuk.
 
Namanisha hivi
Kam unangalia mvuto kwa wanaume hautampata mwanaume mweny mvuto....

Ila Kam utatafuta anayejua thaman ya mwanamke we mwenyew utafurah n kunikumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…