Sijaelewa hebu fafanuaMi sasa ingeetokea umenipenda afu sijakipenda ungenipiga bomu kabisa maana hata mapenz ya kuigiza yale siyawezi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa hebu fafanuaMi sasa ingeetokea umenipenda afu sijakipenda ungenipiga bomu kabisa maana hata mapenz ya kuigiza yale siyawezi..
DuhMoyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu yalinipotezea mwanaume niliyempenda kuliko mwanaume mwingine chini ya jua.
Na shida yangu sasa huwa nampenda mtu siku ya kwanza nimemuona ila katika pitapita zangu sijaona mtu wa kumpenda mpaka leo yani wanaonifuata hamna hata mmoja anaenivutia.
Sasa ulivyo si pamoja na chura mama huwezi ukaiweka chura pembeni afu uwe weweSifa ya nini? Chura ipo sema hii ni tatizo sababu hata kama mtu hana mpango na mimi unakuta anakuja kumbe kafuata chura tu. Sitak mwanaume aje kwangu sababu ya chura au uzuri, nataka anipende nilivyo
Jaribu kujishusha kidogo ili kutoa hiyo hofu waliyojijengea watu wengine dhidi yakoTatizo nililo nalo ni kwamba wanaume wananiogopa, waliobahatika kukaa na mimi wanasemaga niko tofauti na ninavyoonekana yani naonekana mwanamke fulani matawi napenda pesa ila siko hivyo. Labda nina tabia mbaya kweli zisizovumilika lakini hamna mtu aliewahi niambia kwamba nina tabia hii na hii ndo maana wanashindwa kukaa na mimi. Mapungufu ya kibinadamu lazima ninayo ila sio ya kumkimbiza mwanaume kwamba ameshindwa kuvumilia.
Njoo huku!Hata mimi sijui kwanini haupendi.
Yani wewe dada nakupenda sana .Ipi hiyo mkuu??