Nafahamu wapo wakristo wenye ndoa zao nzuri tu, lakini kuna wengine inatokea bahati mbaya wanakosea kuingia na watu ambao sio sahihi...tungepewa na sisi walau nafasi ya kurekebisha makosa [emoji14]....hata moja tu au mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Dini ya kuruhusu kuoa na kuachana ni Dini ya hovyo sana
Si ni bora hiyo ndoa isifungishwe.
Aibu hailetwi na ndoa ya kikristo tu, hata za kiislam zinaleta aibu kubwa tu kwenye jamiiDini isiyoruhusu kuachana ni sawa na Jela na utumwa.
Kuna utumwa mwingi sana katika ndoa za kikristo. Mwanamke anataka kutoka hawezi na mwanaume anataka kutoka hawezi vinabaki vituko na amani kutoweka na mara zote ndoa za kikristo zinaleta aibu katika jamii.
Aibu hailetwi na ndoa ya kikristo tu, hata za kiislam zinaleta aibu kubwa tu kwenye jamii
Wasipoelewana wawili Mume na Mke lazima kutokee tatizo no matter ni wanandoa wa Dini zipi.
Ok twende mbali zaidi.
80 ya matukio ya wanaume au wanawake kuwachinja au kupapiga shoka wenza wao ni dini gani?
Ni katika Ndoa za kikristo.
Kuna hata wachungaji wengi wamewachinja wake zao ndani ya ndoa
Ni bora mtu niachane nae kuliko tuanze kufanyiana vituko hadi kufikia mtu wakati wote unajihisi hauko salamaUmeongea vizuri kabisa nakubaliana nawewe
Swali langu kwako upo teyari kuolewa na kufukuzwa mara ngapi katika maisha yako?
Ni bora mtu niachane nae kuliko tuanze kufanyiana vituko hadi kufikia mtu wakati wote unajihisi hauko salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Dini ya kuruhusu kuoa na kuachana ni Dini ya hovyo sana
Si ni bora hiyo ndoa isifungishwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππNa wengi hujisifia kuolewa Mara nyingi kuwa Ni sifa kuwa yeye soko lake liko juu.Vyuo vikiwa vingi Ni sifa kwa wanawake wenzie kuwa usimuone yule kiboko yule sasa hivi chuo Cha nane
Sawa [emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1]
Wewe Bhana pambana na hali yako
Pole
Nipo tayari hata mara kumiBado hujanijibu swali langu [emoji1][emoji1]
Kwani hujaona huko juu watu wanasema wanafikisha hadi vyuo nane[emoji16][emoji16][emoji736]
Waoaji wapo nao hawaoni vigoli
Ndio maana wenzetu kijana anaoa hata ana miaka 20, 22 wala hana haja ya kumchunguza sana mchumba kwa sababu hana hofu ya kukosea, maana akikosea ana nafasi ya kurekebisa. Huku kwetu kulingana na jinsi dunia inavyokwenda vijana imefika mahali wanaogopa kuingia ndoani kwa sababu anajua akiingia ameingiaYaani ukimwandikia tu Mkeo Meseji ya simu maneno.
SIKUTAKI
SIKUTAKI
SIKUTAKI
Talaka tayari na sio mke na mume tena.
Kweli ndo hii ni very cheap
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujaona huko juu watu wanasema wanafikisha hadi vyuo nane[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
ukristo upi wenye hizo ndoa? mana kwa hapa tanzania sijawahi kuona wala kusikia kanisa linalofungisha ndoa za jinsia moja na wala kwenye biblia ambayo ndo muongozo wa kanisa hakuna ndoa ya jinsia moja tena imeandika kabisa ''OLE WAO WAFIRAJI NA WAFILWAJI MANA ZIWA LA MOTO LINAWASUBIRI'', sasa unaponiamba kwenye ukristo kuna hizo ndoa labda unipe mfanoOk.
kuna ndoa za mashoga na mikataba na za jinsia moja katika ukristo huu huu ni kwa kitabu gani? ni hii hii biblia au kitabu kingine?.
Hii inaonesha kwamba waalimu wetu wa biblia kuna kitu hawaweki sawa katika mafundisho ya ndoa.