Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Hiyo ndo raha ya uislam maana pamoja upumbavu wake au wa waumee zake angekuwa mkristo aangeendelea kuwa kwenye ndoa lakin uislam umempa fursa ya kuachwa na kuelowa na mwingine
Akili ya Muhammad ilikuwa ya ajabu kweli

Aliruhusu kuoa hadi watoto ambao hawajapevuka.

Aliifuata tamaa yake zaidi ndio maana nayeye akamuoa Aisha 9.

Halafu tena kule akhera wanaume wakazawadiwe Mabikira 72, wanawake Je watapata nini?

Huu ni uonevu kwa wanawake

Wabillah Tawfiq.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na jingine tuache kudanganyana kuwa mwanaume atakuwa na mkewe mmoja peke yake wanaume tulivyo umbwa ni kutamani tu na ndio maana mwenyezi mungu alie tuumba anatujua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninaye mmoja na ninaridhika naye kabisa. Kinachokutesa sio ulivyoumbwa, huko ni kuleta excuses. Unateswa na yale uliyojaza moyoni, kama umekulia mazingira ya kuzungumzia fahari, starehe za ngono na maongezi mengine kama hayo maana yake umeshaiwasha tamaa moyoni mwako.

Nakushauri tu UACHE KUJIDANGANYA kwamba wanaume wote wanafanya ufanyayo wewe. Udhaifu wako sio uasili mwa mwanaume. Mara zote chunga sana kiujazacho moyo wako, maongezi yenu, picha unazotazama n.k. Hayo ndiyo yanayokukamilisha unakuwaa hivyo ulivyo

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Katika Ndoa za kiislam kipengele kina sema hivi ikibidi kuachana muachane kwa wema kwa maana imefika mahala suruhu imeshindikana zimeitwa pande zote mbili za wazazi imeshindikana hapo ndio talaka inatoka na ikitoka taraka mwanamke anakuwa chini ya imaya yako kwa kutoa huduma ndani ya miezi mitatu sasa kama wote mlikuwa na hasira na mmechukiana katika kipindi chote hicho hizo ni hasira za juu kabisa mpaka kushindwa kusameheana na kuachana si ugomvi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuachana ni kuachana tu, kuwe kwa wema ama ubaya. Kwejye Biblia inalithibitisha hilo ulilosema kuwa talaka ni zao la UGUMU WA MIOYO. Lakini pia uelewe kuwa hata Biblia imeruhusu kutengana kwa maana ya KUREJEANA. Mpate muda wa kutafakari upya maisha na kurekebisha palipopinda. Kisichokuwapo ni talaka tu, ndiomaana Yesu aliposema hilo wanafunzi wake wenyewe wakataka kuandamana, wakasema, kama mambo ya mke na mume yako hivi basi hakuna haja ya kuoa.

Mathayo 19
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁰ Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
¹¹ Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.

Umeona? Sio wote wanaweza kulipokea hilo neno kwa sababu ya ugumu wa mioyo. Ugumu wa mioyo huletwa na mafundisho potofu tunayopata nje ya Mungu. Mfano mtu aliyejizoeza kutazama ngono, ukimwambia aache kwa sababu ni dhambi hawezi kukuelewa. Huyu ameujaza mambo haya moyo wake, pia amesikiliza maneno ya washauri wa pembeni na huwa wanajadili video nzuri zaidi za ngono kila zikitoka kiasi kwamba hana nafasi kusikiliza mafundisho mbadala.

Wale waliojaliwa ni wale ambao wameweza kumjua Mungu na kumpa nafasi maishani mwao. Kwa watu wa namna hiyo hata wakiwa mkw na mume kwao Mungu ni kiongozi kwa sababu wanafuata maagizo yake. Hakuna sababu ya wao kutengana kwa sababu kuishi kwao ni Kristo, mmoja akikosea anajuta kwa sababu ana hofu ya Mungu na hivyo mwingine anasamehe kwa sababu ya kumcha Mungu.

Kwa watu hawa hawawezi kuwaza uzinzi kwa sababu neno la Mungu liko moyoni mwao kuwahukumu muda wote, hakuna nafasi ya kusema nipe muda nitakujibu ombi lako la kulala na mimi. Roho Mtakatifu ni kiongozi na anaingilia kati hapo hapo na kufanya hukumu na kumkumbusha mhusika kuwa analotaka kulitenda ahaliko kwa misingi ya Neno la Mungu.

Nimalize kwa kusema, hawa wote unaowaona humu wakilalama kuwa ni wakristo lakini tamaa za mwili zimewazidi, ni kwamba hawajamjua Kristo mioyoni mwao. Mioyo yao iko mbali naue, wanamwabudu kwa midomo yao tu. Kama Kristo angekuwa sehemu ya maisha yao basi wasingetawaliwa na mwili bali wangeutiisha mwili. Na huo ndio msingi wa ukristo, kuua mwili wa nje na kufufua ule wa ndani.

Mkuu ilikuwaje mpaka aya ikafikia hapo hyo matayo?

Weka mlolongo tuone kisa kizima kwa mujibu wa matayo ilikuwaje na kilisemwa nini na wanafunzi mpaka wakasems hivyo.

Yani tupate ushahidi wa maandiko juu ya yesu kuelezea kuhusu wanandoa kutengana kwa kurejeana.

Kuns kutengana kwa muda kishs mksrejeana alafu kuna kuachana moja kwa moja bila kurejeana(haya uislsmu umeruhusu yote)

Samahani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu akitoka nje ya ndoa anapigwa mawe mpaka afe, hii sheria igekua ndio ya kitaifa mbona watu wangebakia njia kuu, mchepuko usingekua dili.

Mwanamke haruhusiwi akiwa peke yake nyumbani kupata mgeni au kutembelewa na mgeni wa kiume ambae anaweza kumwoa (sio kaka yake, baba yake, mjomba wake), mpaka mume wake awepo. Na mwanaume pia hivo hivo.

Ndoa ya kiisalmu hakuna kugawana mali 50% pindi mkiachana, kila mtu anasepa na alichotafuta (ila huduma kwa watoto ni lazima kwa mwanaume kutoa).
Hiyo hukumu ya kupigana mawe ipo kwenye biblia siyo Qur'an. Acha kuzuwa.
 
Hakuna muislamu anayekataa hukmu ya mawe.

Muislamu anayekataa hukmu ya mawe anakataa aliyokuja nayo mtume katika sheria,na kukataa aliyokuja nayo mtume ni kufru kama kufru ya kukataa kufufuliwa siku ya kiama tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana ya Dini, unatakiwa uishinde hiyo changamoto.

Dini ya Kiislam inanyanyasa sana Wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa uzishinde changamoto za kiroho na nafsi yako sio changamoto za watu wengine ndo maana Hata Mungu mwenyewe ameweka makazi mawili Peponi na Motoni .ni kwa sababu kuna watu wameshindikana sasa kama Ukiristo unalizimisha ukae na mtu Hugo milele bac itakua Unanyanyasa wanaume na wanawake maana ubaya hauna jinsia yoyote anaweza kua mtu mbaya kwa mwenziwe
 
Mkuu ilikuwaje mpaka aya ikafikia hapo hyo matayo?

Weka mlolongo tuone kisa kizima kwa mujibu wa matayo ilikuwaje na kilisemwa nini na wanafunzi mpaka wakasems hivyo.

Yani tupate ushahidi wa maandiko juu ya yesu kuelezea kuhusu wanandoa kutengana kwa kurejeana.

Kuns kutengana kwa muda kishs mksrejeana alafu kuna kuachana moja kwa moja bila kurejeana(haya uislsmu umeruhusu yote)

Samahani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa chenyewe hiki hapa mkuu:

Mathayo 19
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³ Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu
?

Mafarisayo walikuwa wajuzi wa torati, hivyo mara nyingi walimuuliza Yesu maswali ya majaribu ili avunje torati wamshitaki. Hapa wanamtega kuhusu kumwacha mke kwa kila sababu.

⁴ Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba Yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
⁵ akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
⁶ Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.

Hapo Yesu anatumia reference ya uumbaji kuelezea mpango wa Mungu tangu mwanzo. Hakuumba mwanamume mmoja na wanawake wengi ili achague wa kuoa na kuweza kuacha pia. Anamaliza kwa kusisitiza aliowaunganisha Mungu mwanadamu asiwatenganishe. Swali la msingi kabisa hapa, ni ndoa zipi zinaunganishwa na Mungu? Amini nakwambia sio kila ndoa kwa sababu tu imefungwa na kanisa basi Mungu ameiunganisha, hapo ndipo palipo na hekima.

⁷ Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?
⁸ Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Hapo ndipo penye msingi wa talaka za agano la kale. Kwamba ni ugumu wa mioyo ya wanadamu uliomlazimisha Musa awaruhusu kutoa talaka, lakini mpango wa Mungu tangu kuumbwa kwa mwanadamu haukuwa hivyo. Mpango wake ulikuwa mke mmoja, mume mmoja basi.

⁹ Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.

Ruksa pekee kwa ndoa za kikristo kumwacha mke ni kama amekuwa mwasherati. Sasa uasherati ni tendo la ndoa pasipokuwa na ndoa. Kama binti ataanza ngono mapema kabla ya kuolewa maana yake atapoteza bikra. Mumewe baada ya kufunga ndoa anapomwingilia kwa mara ya kwanza akakuta barabara imewekwa lami kabisa hapo ndipo anaruhusiwa kumwacha.

Huyu mwanamke maana yake alikuwa mwasherati kabla ya kuolewa, ndio maana kuna maandiko mengi tu yalisisitiza mwanamke atoe damu siku ya kuolewa na iletwe kama ushahidi kwa wazee. Kwa sababu siku hizi tumefanya uasherati kuwa sehemu ya maisha, hatuzingatii maagizo ya Mungu, kwa kuwa kuna neema, hivyo tutapata tu msamaha. Basi sawa, lakini tukiiwasha tamaa ya mwili, ndoa haiwezi kuituliza, zaidi tutaishi kwa kutamani kulala na watu nje ya ndoa ili kukidhi tamaa za mwili tulizoziamsha na kujizoesha hivyo. Ndoa sio jibu la tamaa za ngono hata kidogo.

¹⁰ Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
¹¹ Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.

Kwa kulitazama kibinadamu wanafunzi waliona kabisa kuwa jambo hili haliwezekani. Watu wanakorofishana na wake zao kwa mambo mengi mno, hivyo sio rahisi kuweka kipengele kimoja tu kumwacha mke.

Lakini Yesu aliwajibu kimaandiko, neno hili sio la wale wanaoishi kwa kanuni za ulimwengu huu. Kwamba vijana wanajifunza ngono mapema, wanajifunza miondoko mbalimbali, wanachezeana kutwa kucha, kisha wanaingia kwenye ndoa. Kwa sababu ya ladha mbali mbali walizopitia kabla ya ndoa (vionjo, utundu, saizi n.k), ni vigumu kuwa na utulivu tena. Moyo umejaa ubatili, nafsi haiwezi kutulia kwa mwanamke ama mwanamume mmoja. Lazima baada ya muda mfupi kila mmoja atajisikia tamaa kuonja vya nje alivyovimiss, kila mmoja ataona mapungufu ya mwenzake kwa kulinganisha na uzoefu alioingia nao kwenye ndoa.

Ila wale waliojaliwa, hawa ni wale waliojaliwa kuzijua siri za ufalme wa Mungu. Hawa tangu malezi yao hawakujishughulisha na mambo haya ya kidunia, bali waliweka muda wao mwingi katika kufuata maagizo ya Mungu. Mioyo yao imeshiba neno la Mungu, hakuna nafasi ya udanganyifu wala hila za shetani.

Watu kama hawa ndio wanaotoka kwa Bwana na hawa wamelelewa na Bwana, ndio hawa wanaoozwa na Bwana. Kuishi kwao ni Kristo na kufa kwao ni faida, hawaishi kuufurahisha ulimwengu, bali kumpendeza Mungu. Kwa watu kama hawa mwili umekufa tayari bali roho ndiyo iko hai. Hawa ndio wale wanaoweza kusema hapa duniani tu wasafiri.

¹² Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.

Hapa anamaliza kwa kufananisha na matowashi. Wako wanaume ambao wamezaliwa mahanithi toka tumboni mwa mama zao, hawa hawana tamaa za mwili za ngono.

Wapo mahanithi wa kufanywa na wanadamu, ambao katika nyakati hizo wale watumwa waliofanya kazi kwa mfalme walihasiwa ili wasije wakapanda mbegu yao kwa mfalme. Hawa nao neno hili kwao si kitu.

Lakini wapo ambao wamejifanya mahanithi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni, hawa ndio wale wanaoishi kwa kufuata maagizo. Wameuua mwili na tamaa zake na hivyo hawaendeshwi na ulimwengu. Hawa ndio waliojaliwa kulipokea neno hili nao hawataona ugumu wowote.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk[/b]
 
Unatakiwa uzishinde changamoto za kiroho na nafsi yako sio changamoto za watu wengine ndo maana Hata Mungu mwenyewe ameweka makazi mawili Peponi na Motoni .ni kwa sababu kuna watu wameshindikana sasa kama Ukiristo unalizimisha ukae na mtu Hugo milele bac itakua Unanyanyasa wanaume na wanawake maana ubaya hauna jinsia yoyote anaweza kua mtu mbaya kwa mwenziwe
Msingi wa ukristo, mke na mume wanaungana kuwa mwili mmoja. Kama mtashindwa hapo, basi hamkuunganishwa na Mungu. Yeye ndiyealiyetenganisha ubavu mmoja akaufanya mwanamke, sasa ndoa ni kurejesha huo ubavu mmoja.

Tatizo ndoa nyingi siku hizi ni za kujibu tamaa za kingono, ndio maana watu wanalilia kuoa na kuacha kwa sababu mioyo yao haiko na Muumba wao ila midomo yao.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Unatakiwa uzishinde changamoto za kiroho na nafsi yako sio changamoto za watu wengine ndo maana Hata Mungu mwenyewe ameweka makazi mawili Peponi na Motoni .ni kwa sababu kuna watu wameshindikana sasa kama Ukiristo unalizimisha ukae na mtu Hugo milele bac itakua Unanyanyasa wanaume na wanawake maana ubaya hauna jinsia yoyote anaweza kua mtu mbaya kwa mwenziwe
All in All...wewe sema ndoa za sikuhizi nyingi zipo hovyo sana

Hakuna uaminifu

Sio kwa Wakristo wala Waislam...hakuna penye inafuu

Utandawazi, tecknolojia na mengine vimeharibu ndoa.

Zamani katika Ukristo Mume mmoja na Mke mmoja na matukio ya hovyo hayakuwa mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na dini Ambayo ukioa ni kama roho haitoki mpaka ufe ni ya Ajabu sana wakati inajua binaadamu tunamapungufu inafika wakati unashindwa kuvumilia mateso anayokupa mwenzio eti kwa kisingizio cha ndoa . Ndoa na kiungo chama mwili wako bora nn ? Watu hutia saini kabisa kiungo kikatwe kunusuru Maisha .Au Yale Magunia ya mkaa Ndio njia sahihi ya matatizo yanapokua hayana suluhu tena
Najua unaongea hivyo sababu huna mtoto wa kike au huna dada.

Asingekudanganye mtu wazazi huwaga wanapata wakati mgumu mno hasa mtoto wao anapoachika alafu baya zaidi karudi nyumbani na mtoto ,sababu wanajua mzigo ni wao na aibu ni ya kwao,sikia kwa watu yasikukute.

Alafu wale watoto ndio wanakuwa katili sana kwani hawatojali hisia za mwenzake na hawatoona umuhimu wa ndoa Mwisho siku mnatengeneza kizazi kibaya kisichojua nini maana ya ndoa na familia.
 
Kisa chenyewe hiki hapa mkuu:

Mathayo 19
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³ Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu
?

Mafarisayo walikuwa wajuzi wa torati, hivyo mara nyingi walimuuliza Yesu maswali ya majaribu ili avunje torati wamshitaki. Hapa wanamtega kuhusu kumwacha mke kwa kila sababu.

⁴ Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba Yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
⁵ akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
⁶ Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.

Hapo Yesu anatumia reference ya uumbaji kuelezea mpango wa Mungu tangu mwanzo. Hakuumba mwanamume mmoja na wanawake wengi ili achague wa kuoa na kuweza kuacha pia. Anamaliza kwa kusisitiza aliowaunganisha Mungu mwanadamu asiwatenganishe. Swali la msingi kabisa hapa, ni ndoa zipi zinaunganishwa na Mungu? Amini nakwambia sio kila ndoa kwa sababu tu imefungwa na kanisa basi Mungu ameiunganisha, hapo ndipo palipo na hekima.

⁷ Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?
⁸ Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Hapo ndipo penye msingi wa talaka za agano la kale. Kwamba ni ugumu wa mioyo ya wanadamu uliomlazimisha Musa awaruhusu kutoa talaka, lakini mpango wa Mungu tangu kuumbwa kwa mwanadamu haukuwa hivyo. Mpango wake ulikuwa mke mmoja, mume mmoja basi.

⁹ Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.

Ruksa pekee kwa ndoa za kikristo kumwacha mke ni kama amekuwa mwasherati. Sasa uasherati ni tendo la ndoa pasipokuwa na ndoa. Kama binti ataanza ngono mapema kabla ya kuolewa maana yake atapoteza bikra. Mumewe baada ya kufunga ndoa anapomwingilia kwa mara ya kwanza akakuta barabara imewekwa lami kabisa hapo ndipo anaruhusiwa kumwacha.

Huyu mwanamke maana yake alikuwa mwasherati kabla ya kuolewa, ndio maana kuna maandiko mengi tu yalisisitiza mwanamke atoe damu siku ya kuolewa na iletwe kama ushahidi kwa wazee. Kwa sababu siku hizi tumefanya uasherati kuwa sehemu ya maisha, hatuzingatii maagizo ya Mungu, kwa kuwa kuna neema, hivyo tutapata tu msamaha. Basi sawa, lakini tukiiwasha tamaa ya mwili, ndoa haiwezi kuituliza, zaidi tutaishi kwa kutamani kulala na watu nje ya ndoa ili kukidhi tamaa za mwili tulizoziamsha na kujizoesha hivyo. Ndoa sio jibu la tamaa za ngono hata kidogo.

¹⁰ Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
¹¹ Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.

Kwa kulitazama kibinadamu wanafunzi waliona kabisa kuwa jambo hili haliwezekani. Watu wanakorofishana na wake zao kwa mambo mengi mno, hivyo sio rahisi kuweka kipengele kimoja tu kumwacha mke.

Lakini Yesu aliwajibu kimaandiko, neno hili sio la wale wanaoishi kwa kanuni za ulimwengu huu. Kwamba vijana wanajifunza ngono mapema, wanajifunza miondoko mbalimbali, wanachezeana kutwa kucha, kisha wanaingia kwenye ndoa. Kwa sababu ya ladha mbali mbali walizopitia kabla ya ndoa (vionjo, utundu, saizi n.k), ni vigumu kuwa na utulivu tena. Moyo umejaa ubatili, nafsi haiwezi kutulia kwa mwanamke ama mwanamume mmoja. Lazima baada ya muda mfupi kila mmoja atajisikia tamaa kuonja vya nje alivyovimiss, kila mmoja ataona mapungufu ya mwenzake kwa kulinganisha na uzoefu alioingia nao kwenye ndoa.

Ila wale waliojaliwa, hawa ni wale waliojaliwa kuzijua siri za ufalme wa Mungu. Hawa tangu malezi yao hawakujishughulisha na mambo haya ya kidunia, bali waliweka muda wao mwingi katika kufuata maagizo ya Mungu. Mioyo yao imeshiba neno la Mungu, hakuna nafasi ya udanganyifu wala hila za shetani.

Watu kama hawa ndio wanaotoka kwa Bwana na hawa wamelelewa na Bwana, ndio hawa wanaoozwa na Bwana. Kuishi kwao ni Kristo na kufa kwao ni faida, hawaishi kuufurahisha ulimwengu, bali kumpendeza Mungu. Kwa watu kama hawa mwili umekufa tayari bali roho ndiyo iko hai. Hawa ndio wale wanaoweza kusema hapa duniani tu wasafiri.

¹² Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.

Hapa anamaliza kwa kufananisha na matowashi. Wako wanaume ambao wamezaliwa mahanithi toka tumboni mwa mama zao, hawa hawana tamaa za mwili za ngono.

Wapo mahanithi wa kufanywa na wanadamu, ambao katika nyakati hizo wale watumwa waliofanya kazi kwa mfalme walihasiwa ili wasije wakapanda mbegu yao kwa mfalme. Hawa nao neno hili kwao si kitu.

Lakini wapo ambao wamejifanya mahanithi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni, hawa ndio wale wanaoishi kwa kufuata maagizo. Wameuua mwili na tamaa zake na hivyo hawaendeshwi na ulimwengu. Hawa ndio waliojaliwa kulipokea neno hili nao hawataona ugumu wowote.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk[/b]
Hapana nimegundua kua hata Maandiko yenu yanatambua Talaka ila inataka iwe ni kipengele kimoja tu cha Uasharati ( case closed ) inaonesha ni jinsi gani hakuna cha umilele .Nilidhani imekataza Talaka kwa namna yoyote ile
 
Case closed una maana gani? Unaelewa maana ya uasherati? Think

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Najua unaongea hivyo sababu huna mtoto wa kike au huna dada.

Asingekudanganye mtu wazazi huwaga wanapata wakati mgumu mno hasa mtoto wao anapoachika alafu baya zaidi karudi nyumbani na mtoto ,sababu wanajua mzigo ni wao na aibu ni ya kwao,sikia kwa watu yasikukute.

Alafu wale watoto ndio wanakuwa katili sana kwani hawatojali hisia za mwenzake na hawatoona umuhimu wa ndoa Mwisho siku mnatengeneza kizazi kibaya kisichojua nini maana ya ndoa na familia.
Bora mwanao wa kike arudi nyumbani ns mtoto kuliko mtoto wa kike abaki kwa mumewe anapigwa na mwanawe ns kuteseka kisa ndoa haitakiwi kuvunjwa.

Hata wewe ungekuwa na mtoto wa kike alafu ameolewa na anateswa na mumewe na vipigo mume muhuni basi ungeona uchungu na hyo ndo sababu ya kuwa ndoa zipo zipo tu kwa sababu hskuna maelewano.

Ndoa ni kama biashara tu ikikushinda na ikawa mbovu unaachana nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua unaongea hivyo sababu huna mtoto wa kike au huna dada.

Asingekudanganye mtu wazazi huwaga wanapata wakati mgumu mno hasa mtoto wao anapoachika alafu baya zaidi karudi nyumbani na mtoto ,sababu wanajua mzigo ni wao na aibu ni ya kwao,sikia kwa watu yasikukute.

Alafu wale watoto ndio wanakuwa katili sana kwani hawatojali hisia za mwenzake na hawatoona umuhimu wa ndoa Mwisho siku mnatengeneza kizazi kibaya kisichojua nini maana ya ndoa na familia.
Hapa tuko JF hakuna anemjua mwenziwe ila mm ni baba wa watoto 5 akiwemo mwanamke 1 tu peke yake ni kaka wa wanawake 4 na 1 kati yao ni mjane Niko nae nae na mwanawe 1 . Mateso alokua akiyapata kwenye ndoa yake yamemfanya hata kua na mahusiano ya kawaida tu na wanaume anahofia kama haingekuepo talaka kwa akili za kike labda Angeamua kujiua tu.
 
Case closed una maana gani? Unaelewa maana ya uasherati? Think

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kwa lugha ya kimaandiko ya Biblia sina taaluma nayo ila kwa ulimwengu wetu Uasharati ni (uzinifu ) ndo nilitaka kushangaa kwamba Hata mke/Mme akizini nje ya ndoa bado inataka uendelee kua nae kisa mmefunga ndoa .jawabu nilopata kwa maandiko yako ni kua hilo Unaruhusiwa kutoa TALAKA na kumuacha. Ni kua hata UKRISTO unatambua TALAKA
 
Najua unaongea hivyo sababu huna mtoto wa kike au huna dada.

Asingekudanganye mtu wazazi huwaga wanapata wakati mgumu mno hasa mtoto wao anapoachika alafu baya zaidi karudi nyumbani na mtoto ,sababu wanajua mzigo ni wao na aibu ni ya kwao,sikia kwa watu yasikukute.

Alafu wale watoto ndio wanakuwa katili sana kwani hawatojali hisia za mwenzake na hawatoona umuhimu wa ndoa Mwisho siku mnatengeneza kizazi kibaya kisichojua nini maana ya ndoa na familia.
Kwa upande wako ww unaona ni bora mtu kudhalilika na kuteseka kwenye ndoa kuliko kua na Amani na Furaha nje ya ndoa fikiri Mara mbili kaka
 
Hapa tuko JF hakuna anemjua mwenziwe ila mm ni baba wa watoto 5 akiwemo mwanamke 1 tu peke yake ni kaka wa wanawake 4 na 1 kati yao ni mjane Niko nae nae na mwanawe 1 . Mateso alokua akiyapata kwenye ndoa yake yamemfanya hata kua na mahusiano ya kawaida tu na wanaume anahofia kama haingekuepo talaka kwa akili za kike labda Angeamua kujiua tu.
Sawa ila nakwambia siku zote watoto wanajifunza kupitia wanayo yaona,usitegemee mtoto ambaye kakosa malezi ya baba na mama akajua umuhimu wa ndoa au familia.
 
Back
Top Bottom