Natamani sana timu yangu ya Yanga ipangiwe Mamelod au Al Ahly

Kuna tofauti kubwa sana kati ya hii Yanga ya sasa na ile Yanga ya zamani. Yanga ya sasa haiogopi kucheza na timu yoyote ile Barani Afrika. Zaidi tu itawaheshimu wapinzani wake wote atakaokutana naye.

Sema tu mpaka muda huu tumeshindwa kuwa na permanent striker kama ilivyokuwa msimu uliopita.
Na hapa ndipo udhaifu wetu ulipo mpaka sasa. Ila kwingine kote kuko safi.
Mkuu angalau wewe unaweza kujadili jambo. Kiufupi sana yanga bado hajapata timu ya kum-challenge tukaona mapungufu zaidi. Hilo la ufungaji inabidi mlitibu mapema mno kwenye group stage nafasi huwa ni chache sana hiyo kuzitumia ni jambo muhimu mno. Game ya jana na wasudani mmepoteza chances za kufunga zaidi ya 5 ambazo group stages hazitakuwepo.
 
Just to confuse you
Wewe hujui kitu. Mara raja kucheza champions league mara kamfunga alhy vituko vitupu. Humu kuna wenye kujua soka na kulifuatilia kwa kanuni na sheria ukiandika utopolo wako unaonekana kikaragosi tu
 
Mkuu angalau wewe unaweza kujadili jambo. Kiufupi sana yanga bado hajapata timu ya kum-challenge tukaona mapungufu zaidi. Hilo la ufungaji inabidi mlitibu mapema mno kwenye group stage nafasi huwa ni chache sana hiyo kuzitumia ni jambo muhimu mno. Game ya jana na wasudani mmepoteza chances za kufunga zaidi ya 5 ambazo group stages hazitakuwepo.
Wew kweli kolo
 
Kwanza lazima ukubali kua Yanga
kiwango chao kimepanda, sasa kimepanda kwa ukubwa gani nilazima wakutane na timu imara sana.
Mpaka sasa yanga wamecheza mechi kadhaa lakini hakuna hata timu moja iliyo mchallenge Yanga wakahisi wapo hatarini.

Tunataraji labda group stage inaweza kumfanya Yanga akutane na upinzani ila nahisi kama ipo ni timu moja au mbili si zaidi ya hapo.
Yanga itakutana na challenge ya uhakika nusu fainali na kwa wakati uo safu yao ya ushambuliaji itakua imesha pata dawa.
Wale wote watakao kua wanaichukulia Yanga ya kawaida wataumia sana.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hii Yanga ya sasa na ile Yanga ya zamani. Yanga ya sasa haiogopi kucheza na timu yoyote ile Barani Afrika. Zaidi tu itawaheshimu wapinzani wake wote atakaokutana naye.

Sema tu mpaka muda huu tumeshindwa kuwa na permanent striker kama ilivyokuwa msimu uliopita.
Na hapa ndipo udhaifu wetu ulipo mpaka sasa. Ila kwingine kote kuko safi.
Kwa upande mwingine huenda ikawa ni Big Advantage maana mpinzani anashindwa kuelewa adili na Nani?
 
Back
Top Bottom