Safari hii kundi moja Simba na Yanga halafu mmoja atapita robo ndio tujue nani boraKutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca.
Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
AtapitaAmeshapita tayari?
Kambona hivi ilikuaje mzee wako kumkimbia nyerere na kuishi Uingereza miaka na miaka. Issue ilikuwa ninini hasaHaya nayo tuyape muda kwakuwa yatafika tuu Sawa ndugu.
Mkuu angalau wewe unaweza kujadili jambo. Kiufupi sana yanga bado hajapata timu ya kum-challenge tukaona mapungufu zaidi. Hilo la ufungaji inabidi mlitibu mapema mno kwenye group stage nafasi huwa ni chache sana hiyo kuzitumia ni jambo muhimu mno. Game ya jana na wasudani mmepoteza chances za kufunga zaidi ya 5 ambazo group stages hazitakuwepo.Kuna tofauti kubwa sana kati ya hii Yanga ya sasa na ile Yanga ya zamani. Yanga ya sasa haiogopi kucheza na timu yoyote ile Barani Afrika. Zaidi tu itawaheshimu wapinzani wake wote atakaokutana naye.
Sema tu mpaka muda huu tumeshindwa kuwa na permanent striker kama ilivyokuwa msimu uliopita.
Na hapa ndipo udhaifu wetu ulipo mpaka sasa. Ila kwingine kote kuko safi.
Wewe hujui kitu. Mara raja kucheza champions league mara kamfunga alhy vituko vitupu. Humu kuna wenye kujua soka na kulifuatilia kwa kanuni na sheria ukiandika utopolo wako unaonekana kikaragosi tuJust to confuse you
Wewe ni kolo'bwenziKutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca.
Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
Kwani Simba na Yanga zilipokutana ilikuwaje? 😁 😁 😁Kutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca.
Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
Wew kweli koloMkuu angalau wewe unaweza kujadili jambo. Kiufupi sana yanga bado hajapata timu ya kum-challenge tukaona mapungufu zaidi. Hilo la ufungaji inabidi mlitibu mapema mno kwenye group stage nafasi huwa ni chache sana hiyo kuzitumia ni jambo muhimu mno. Game ya jana na wasudani mmepoteza chances za kufunga zaidi ya 5 ambazo group stages hazitakuwepo.
Uto walikandwaKwani Simba na Yanga zilipokutana ilikuwaje? [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kwanza lazima ukubali kua YangaMkuu angalau wewe unaweza kujadili jambo. Kiufupi sana yanga bado hajapata timu ya kum-challenge tukaona mapungufu zaidi. Hilo la ufungaji inabidi mlitibu mapema mno kwenye group stage nafasi huwa ni chache sana hiyo kuzitumia ni jambo muhimu mno. Game ya jana na wasudani mmepoteza chances za kufunga zaidi ya 5 ambazo group stages hazitakuwepo.
Una maanisha USM Alger kaka??Nashukuru sana. Sema nimemuweka juu baada ya kuifunga Al Ahly juzi kwenye kombe la Caf. Anyway hoja yangu ni kwamba tusipangiwe timu CHOVU kama Simba
Ni kweli . Nilichanganya majinaUna maanisha USM Alger kaka??
AahaaaazUzuri utopolo atakua pot 4 huko..kwani vina muda basi...mtakutana nao tu!
Kwa upande mwingine huenda ikawa ni Big Advantage maana mpinzani anashindwa kuelewa adili na Nani?Kuna tofauti kubwa sana kati ya hii Yanga ya sasa na ile Yanga ya zamani. Yanga ya sasa haiogopi kucheza na timu yoyote ile Barani Afrika. Zaidi tu itawaheshimu wapinzani wake wote atakaokutana naye.
Sema tu mpaka muda huu tumeshindwa kuwa na permanent striker kama ilivyokuwa msimu uliopita.
Na hapa ndipo udhaifu wetu ulipo mpaka sasa. Ila kwingine kote kuko safi.