Natamani sana timu yangu ya Yanga ipangiwe Mamelod au Al Ahly

Nadhani dirisha dogo la usajiri litamaliza hilo.
 
Hapo umechambua kisomi ila sometime huwa unajitoa ufahamu mkuu.
 
Mkuu unazungunzia nusu fainali wakati hata makundi hujawahi kufika miaka 20+ [emoji23][emoji23] unadhani ni jambo rahisi sana.
Ukifika makundi ndo utaelewa nn namaanisha. Simba tumeshapitia hilo na tumeshaonja chungu yake ila kwako huwezi kuelewa. Kumbuka kuna mechi za makundi 6 tu huku ligi inaendelea wakati huo ukifika nitakukumbusha hapa namaanisha nn
 
Kutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca.
Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
Punguza tamaa hao RAC hawako CL wala CC kama hutaki endelea kukaza fuvu.... Halafu pia acha papara maana Yanga sianataka kutushangaza, nae anaeza kushangazwa mpira ndo ulivyo.... Ni swala la muda tu.
 
Simba kakuonyesha kua Yanga hana striker mzuri rejea mechi ya ngao ya jamii... Sasa iko ivi timu ya Yanga sio inashida kwenye strekingi fosi tu, ila tu haijakutana na timu ya kuwaonyesha madhaifu yao mengine kama hutaki endelea kukaza fuvu ila taimu wili teli.
 
Reactions: Tui
Yoote ayo ayafanyi Yanga isicheze nusu, kumbuka Simba sio Yanga.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca.
Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
Wew hujui boli ungekuwa unajua usingetaja hizo timu hapo chin
 
Kutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca.
Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
Wahenga walisema "mtoto akililia wembe mpe ajikate"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…