Deus Michael Ndololo
Member
- Jul 26, 2017
- 46
- 97
Natamani unganisho letu wote liwe ni uwekezaji na 5M, haijalishi tabia za nje za mtu ila kama atakuwa serious kuwekeza hiyo 5M tutakubali kuungana nae.Watu 40 kiafrika, humo ndani kuna walevi. Wachina wanaweza sana
Mbona wenzetu wanafanikiwa kwa stairi hii. Sisi huku watu wana-jifikilia sana hasa kwa mambo positiveWazo zuri sana ila wamatumbi ,wivu ,tamaa , na husda vipo kwenye DNA
Walevi mbwaKazoea kukutana na cycle ya walevi wa hovyo mtaani kwake anapoishi
Hapo unakuta kila mtu ana malengo yake kichwani kwa kiasi Fulani cha pesa kikifikaHapo baada ya mda kabla mtaji haujakua kunaanza migogoro na kulazimisha mvunje mkataba mgawane pesa kila mtu afe na chake!, nawajua sana wabongo umoja haujawahi dumu kamwe, lazima watokee wasaliti.
Abadili cycle yake ili awe na uwezo kukutana na walevi wajanja anapate michongo 😅Walevi mbwa
Hoja ni kuwekeza 200M, na target ilikuwa ni 5M kwa watu arobaini, ila kama tutakubaliana watu 20 kwa 10M Kila mtu ni sawa ila lengo ni kuwekeza 200MHiyo screenshot ya efu ishirini na sita ina maana gani?
Kwa mawazo haya Bado unasafari ndefu sana mtoa mada....mradi wa watu arobain si darasa hilo.!!!
Lazima tujifikirie kwa nini hautaki tujifirie au wewe ni tapeli?Mbona wenzetu wanafanikiwa kwa stairi hii. Sisi huku watu wana-jifikilia sana hasa kwa mambo positive
Au siyo mzee, wekezeni basi, mimi sina tatizo na idea ya mleta mada. Shida ni vijana wa kibongo, walishaniharibia malengo kwa kuendekeza starehe na kuacha makubaliano tuliyoyaweka.Kazoea kukutana na cycle ya walevi wa hovyo mtaanapoishi
Mtoa mada amini kwamba mambo ya kifedha ni personal ishu. Kama uwez kujiinua mwenyewe no one will.Ndugu watanzania, nimewaza, hapa natamani TUPATIKANE WATU arobaini tuunganishe mitaji ya Mil 5 ili kuitimiza Mil 200 then tuwekeze kupitia Vodacom M-wekeza, huku tukitarajia kupata faida ya zaidi ya asilimia 13 kwa mwaka. Ambapo tujihakikishie kupata zaidi ya Mil 26 kwa mwaka na kwa mwezi 2.1M, ambapo tutakubaliana kuziacha kwa miezi sita then tukapanga mradi Upi wa kufanya.
UNAJUA..
Wenzetu wazungu wanaakilinsana huungana na kufanya mambo kama haya na mwisho wa siku hufanikiwa sana, ila sisi wabongo tunachoweza ni umimi na kupambana kiume. Sasa nimewaza why tusifanye kitu kama vijana?
If interested nicheki tuyajenge.
Ndiyo chanzo cha kufarakana sasa. Ndiyo point yangu iko hapoHapo unakuta kila mtu ana malengo yake kichwani kwa kiasi Fulani cha pesa kikifika