Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

Sifa Moja ya tapeli ni kutokukufafanulia vizuri dhumuni lake kuu kuhusu fedha anayokusisitiza kuitoa, kipi ambacho nimeongea hujaelewa?, pia sijakwambia utoe nimekuja na wazo la uwekezaji, na huu uwekezaji uko wazi DUNIANI, so, hata wewe binafsi unaweza fuatilia na kujiridhisha kuwa ni kweli or uongo kabla hujaandika maoni yako.
Kwanini umelalamika sisi kujifiria kwanza , ulipotoa wazo lako ? Elewa swali
 
Kama
Watu 40 kiafrika?, humo ndani kuna walevi na wazembe. Wachina wanaweza sana kuunganisha mitaji na kuanzisha miradi ya uwekezaji.

Bongo majigambo mengi na kujikweza kila mmoja aonekane ndiye boss wa project.
Masikini kwa ushauri mwingi hamjambo wewe hata 100k kwenye akauti hauna ila ushauri ni mwingi
 
Ni wazo zuri ila kwa waswahili mmh
Kesho anaamua kumalizia nyumba yake halafu anasema nipeni hela zangu najitoa
Mwingine anakuambia wazazi wamemlazimisha kuoa

Yaani miafrika kufanya maamuzi peke yake ni shida sana
Au unakuta muweka hazina kakimbia nazo

Wewe anza mwenyewe na hiyo 5m yako
 
Unafanya marketing ya hiyo M wekeza ama? Wabongo naona hawajalelewa katika misingi ya ushirikiano. Mke na mume tu bado biashara ya pamoja hawawezi sembuse watu msiofahamiana.
 
.......Bongo majigambo mengi na kujikweza kila mmoja aonekane ndiye boss wa project.......
 
Hiyo ya zaidi ya 13% umeitoa wapi? Wao wanasema up to 13%!
Hiyo habari ya 40 weusi kuungana ni ndoto, partnership tu za watu wawili watatu ni mzozo ndo iwe watu 40?
Kawafuatilie vizuri uone, riba inazaana Kila mwezi kama hutotoa chochote, Kila mwezi uwekezaji unaendelea kuhesabika. Mfano ukaweka Mil 10, mwisho wa mwezi itaongezeka na kuwa Mil 10 na laki na ushee na itaendelea kujihesabu Tena.
 
Kwanini umelalamika sisi kujifiria kwanza , ulipotoa wazo lako ? Elewa swali
Hakuna sehemu ambayo nimelalamika, rudia kusoma makala. Isipokuwa nimesema watanzania wengi hujifikilia sana kwenye mambo "positive" nikisema mambo positive basi lielewe neno positive.

Ni sawa na mtu atumie saa nzima kujifikilia kwenda chooni 🤣, hata usipomlazimisha tutafika wakati ataenda tu. Point ya msingi ni kuwa, kama jambo kwako umelitasmini na kulitafakari na kuona Lina faida kwako basi maamuzi yapo mikononi mwako ila hiyo haikuzuii kujifikilia, na KUJA na majibu Bora zaidi na sio negative.
 
Majibu negative kwenye huo mradi wako ni Kama yapi?
 
Hapo baada ya mda kabla mtaji haujakua kunaanza migogoro na kulazimisha mvunje mkataba mgawane pesa kila mtu afe na chake!, nawajua sana wabongo umoja haujawahi dumu kamwe, lazima watokee wasaliti.
Ndio maana kwenye maisha Kuna wanaofaulu na wanaoshidwa. Usiwe miongoni mwa wanaoshidwa Kwa sababu lukuki.
Hapo baada ya mda kabla mtaji haujakua kunaanza migogoro na kulazimisha mvunje mkataba mgawane pesa kila mtu afe na chake!, nawajua sana wabongo umoja haujawahi dumu kamwe, lazima watokee wasaliti.
Ndio maana Kuna wanafanikiwa na wanaobaki kuwaita fremason. Wazee wa sababu huwa hawaishi na mstari huo ndio
 
Back
Top Bottom