Natamani tupatane watu 40 wenye milioni 5

Kusema aendelee na alichokuwa anafanya, huo ni kati ya ushauri ambao siukubali kabisa
Kwa hiyo kama alikuwa anafanya boda boda kijijini kwake na sasa hivi hailipi tena; aendelee kukomaa nayo wakati kwa sasa hailipi
mkuu mfano wako bado unakupinga, huwezi kukosa 600k kwa mwaka mzima kupitia boda hata hali iwe ngumu kiasi gani. labda kama alipata hela kwa kuuza nyumba ya urithi, kiwanja, n.k ambavyo havipo kwenye mzunguko wa fedha

kuhusu wazo nimekuelewa mkuu
 
boda boda nimeweka tu kama mfano ILA yaweza kuwa biashara nyingine
huoni kila siku frem za biashara zinafungwa mijini kwa kushindwa kufikisha hata hela ya kulipa kodi.....hapo sasa unamshauri mtu aendelee kukomaa wakati hata kodi hailipi
 
Tulikuwa tunayafanya hayo mimi na kaka yangu wa damu kabisa ila hatukufika mbali kila mtu alijua njia yake na shida kubwa ni kutofautiana mawazo ni shida sana tena sana
 
boda boda nimeweka tu kama mfano ILA yaweza kuwa biashara nyingine
huoni kila siku frem za biashara zinafungwa mijini kwa kushindwa kufikisha hata hela ya kulipa kodi.....hapo sasa unamshauri mtu aendelee kukomaa wakati hata kodi hailipi
yeah ni kweli, nimekuelewa vyema mkuu. Tukirudi kwenye mada huyo jamaa lengo lake si kupata pesa ya haraka bali ni kuwekeza, ningemshauri anunue ardhi apande miti, miaka 10 mbele anaweza kuwa na zaidi ya milioni 50, kwa mtaji huohuo wa 5m shamba la 4m ni ekari zaidi ya ekari 5. kuliko kufanya huo mpango ambao kila mtu ana malengo na mawazo yake
 
Kwa upande wangu ni wazo zuri. Ila sio kwa ajili ya kupata pesa haraka haraka, hii ni very low investment. You can even say ni zero risk. Ukumbuke hiyo pesa unaiweka hufanyi kazi yoyote, you spend zero time, So kukupa 11% of profit kwa mwaka bado ni cool. Kuna mtu hiyo pesa ipo saving account ambapo he gain nothing, sasa si bora uwekeze upate 11%. Kumbuka ni low risk investment, tofauti ni ukienda kufuga kuku au kulima matikiti you can either loose all the amount or double even triple it. So the lower the risk (safe investment) the lower the return, the higher the risk the higher the return.
 
Millioni 40 mpate faida kwa mwaka M26...?manake mtagawana M 1 kila moja..Sasa M1 gawanya kwa miezi 12 uliyowekeza..unapata faida tsh 84000 kila mwezi..ambapo kwa siku ni tsh 2777.77....yani niwekese M5 ili nipate faida ya 2777.77 kwa siku???? ..Hell no
 
Kwa upande wangu ni wazo zuri. Ila sio kwa ajili ya kupata pesa haraka haraka, hii ni very low investment. You can even say ni zero risk. Ukumbuke hiyo pesa unaiweka hufanyi kazi yoyote, you spend zero time, So kukupa 11% of profit kwa mwaka bado ni cool. Kuna mtu hiyo pesa ipo saving account ambapo he gain nothing, sasa si bora uwekeze upate 11%. Kumbuka ni low risk investment, tofauti ni ukienda kufuga kuku au kulima matikiti you can either loose all the amount or double even triple it. So the lower the risk (safe investment) the lower the return, the higher the risk the higher the return.
Hii ndio maana ya uwekezaji
 
Back
Top Bottom