min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Relax bwashee šAu siyo mzee, wekezeni basi, mimi sina tatizo na idea ya mleta mada. Shida ni vijana wa kibongo, walishaniharibia malengo kwa kuendekeza starehe na kuacha makubaliano tuliyoyaweka.