Relax bwashee 😅Au siyo mzee, wekezeni basi, mimi sina tatizo na idea ya mleta mada. Shida ni vijana wa kibongo, walishaniharibia malengo kwa kuendekeza starehe na kuacha makubaliano tuliyoyaweka.
Tena hata kwenye kuzka siku hizi, Mimi nagoma, kwa nini tuzike kwa gharama ili hali mtu kafa na njaa au ugonjwa bila msaadaPartnership na mbongo inayofanikiwa 100% ni kusaidiana kwenye kuzika tu.
Wewe ndo umesema ukweli mkuu, ila kwenye pesa...ohhh no, no.Partnership na mbongo inayofanikiwa 100% ni kusaidiana kwenye kuzika tu.
Nime mtilia mtoa mada mashaka , kwanini hataki watu wafikirie kwa undani hiki jambo🤔Tunacheza michezo ya kawaida ila unakuta mtu anagoma kutoa hela mara sijui kakasirika anataka hela yake sijui anadaiwa ada ya mtoto shule tumpe hela yake mara Kodi yaan vurugu tupu sembuse iyo ya million 5 😳 Bora mtu ajiwekee mwenyewe
Lazima tujifikirie kwa nini hautaki tujifirie au wewe ni tapeli
Tukiamua wote kwa pamoja kwa kufuata misingi, tutafanikiwa.Partnership na mtu mweusi ni changamoto. Wapo wachache ila kwa idadi ya 40 mtapigana ngumi
Mbona wenzetu wanafanikiwa kwa stairi hii. Sisi huku watu wana-jifikilia sana hasa kwa mambo positive
Watu watapigana vurugu sio la nchi hii watu kwenye hela uaminifu ni 0Nime mtilia mtoa mada mashaka , kwanini hataki watu wafikirie kwa undani hiki jambo🤔
Misingi ni ipi?Tukiamua wote kwa pamoja kwa kufuata misingi, tutafanikiwa.
Umimi ndio umetawala kwetu wabongo.Shida yetu bongo ni husda, roho mbaya, utapeli, na ubinafsi. Kwa nchi nyingine, hiyo framework inaoperate vizuri kabisa. Zinaitwaga crowd funds
😂Mtapigania nini sasa je kama mtoa mada kama mwenye wazo lake akaamua kupita na kibunda ?Watu watapigana vurugu sio la nchi hii watu kwenye hela uaminifu ni 0
upo sahihi kabisa mkuu!, umoja wanaweza wenzetu Wahindi na wazungu ila kwa sisi ngozi nyeusi bado tuna safari ndefu!, ndio maana kampuni nyingi za kibongo huendeshwa na mtu mmoja ambaye ndio mwanzilishi siku akifa na kampuni inakufa hakuna wa kuiendeleza.Hapo unakuta kila mtu ana malengo yake kichwani kwa kiasi Fulani cha pesa kikifika
Sahihi. Ila mimi nimesema uhalisia wa watu wengi likija swala la pesa, janjajanja ni nyingi mkuu. Bora mngekua wawili ila muunganishe tabia za watu 40 mtapigana. Namna nzuri ni wewe kuanzisha jambo na kuliwekea misingi ya kisheria kisha ruhusu watu waingie na kufuata sharia zilizopo hapo hata 100 utawa control ila sasa mwanziloshi nae atakua mwaminifu?Tukiamua wote kwa pamoja kwa kufuata misingi, tutafanikiwa.
🤝Sahihi. Ila mimi nimesema uhalisia wa watu wengi likija swala la pesa, janjajanja ni nyingi mkuu. Bora mngekua wawili ila muunganishe tabia za watu 40 mtapigana. Namna nzuri ni wewe kuanzisha jambo na kuliwekea misingi ya kisheria kisha ruhusu watu waingie na kufuata sharia zilizopo hapo hata 100 utawa control ila sasa mwanziloshi nae atakua mwaminifu?
Sifa Moja ya tapeli ni kutokukufafanulia vizuri dhumuni lake kuu kuhusu fedha anayokusisitiza kuitoa, kipi ambacho nimeongea hujaelewa?, pia sijakwambia utoe nimekuja na wazo la uwekezaji, na huu uwekezaji uko wazi DUNIANI, so, hata wewe binafsi unaweza fuatilia na kujiridhisha kuwa ni kweli or uongo kabla hujaandika maoni yako.Lazima tujifikirie kwa nini hautaki tujifirie au wewe ni tapeli?