Kwanini umelalamika sisi kujifiria kwanza , ulipotoa wazo lako ? Elewa swaliSifa Moja ya tapeli ni kutokukufafanulia vizuri dhumuni lake kuu kuhusu fedha anayokusisitiza kuitoa, kipi ambacho nimeongea hujaelewa?, pia sijakwambia utoe nimekuja na wazo la uwekezaji, na huu uwekezaji uko wazi DUNIANI, so, hata wewe binafsi unaweza fuatilia na kujiridhisha kuwa ni kweli or uongo kabla hujaandika maoni yako.
Masikini kwa ushauri mwingi hamjambo wewe hata 100k kwenye akauti hauna ila ushauri ni mwingiWatu 40 kiafrika?, humo ndani kuna walevi na wazembe. Wachina wanaweza sana kuunganisha mitaji na kuanzisha miradi ya uwekezaji.
Bongo majigambo mengi na kujikweza kila mmoja aonekane ndiye boss wa project.
Nimecheka kwanguvu 😂😂😂😂😂😂Mtapigania nini sasa je kama mtoa mada kama mwenye wazo lake akaamua kupita na kibunda ?
Motivega spika ni kuwa nao makini mnoNimecheka kwanguvu 😂😂😂😂😂
Ukiingia mwili wote unakula vya kichwaMotivega spika ni kuwa nao makini mno
Na Wana maneno matamu mnoUkiingia mwili wote unakula vya kichwa
Au siyo mkuu, sawa sina hata laki kaka😂😂Kama
Masikini kwa ushauri mwingi hamjambo wewe hata 100k kwenye akauti hauna ila ushauri ni mwingi
Ndugu, machuguzi ni mamoja tu, kufuata mkumbo au kufuata misingi imara ya fedha.Mleta mada anakula virungu vya kichwa hadi anahisi kuchanganyikiwa
Kawafuatilie vizuri uone, riba inazaana Kila mwezi kama hutotoa chochote, Kila mwezi uwekezaji unaendelea kuhesabika. Mfano ukaweka Mil 10, mwisho wa mwezi itaongezeka na kuwa Mil 10 na laki na ushee na itaendelea kujihesabu Tena.Hiyo ya zaidi ya 13% umeitoa wapi? Wao wanasema up to 13%!
Hiyo habari ya 40 weusi kuungana ni ndoto, partnership tu za watu wawili watatu ni mzozo ndo iwe watu 40?
Hakuna sehemu ambayo nimelalamika, rudia kusoma makala. Isipokuwa nimesema watanzania wengi hujifikilia sana kwenye mambo "positive" nikisema mambo positive basi lielewe neno positive.Kwanini umelalamika sisi kujifiria kwanza , ulipotoa wazo lako ? Elewa swali
Majibu negative kwenye huo mradi wako ni Kama yapi?Hakuna sehemu ambayo nimelalamika, rudia kusoma makala. Isipokuwa nimesema watanzania wengi hujifikilia sana kwenye mambo "positive" nikisema mambo positive basi lielewe neno positive.
Ni sawa na mtu atumie saa nzima kujifikilia kwenda chooni 🤣, hata usipomlazimisha tutafika wakati ataenda tu. Point ya msingi ni kuwa, kama jambo kwako umelitasmini na kulitafakari na kuona Lina faida kwako basi maamuzi yapo mikononi mwako ila hiyo haikuzuii kujifikilia, na KUJA na majibu Bora zaidi na sio negative.
Ndio maana kwenye maisha Kuna wanaofaulu na wanaoshidwa. Usiwe miongoni mwa wanaoshidwa Kwa sababu lukuki.Hapo baada ya mda kabla mtaji haujakua kunaanza migogoro na kulazimisha mvunje mkataba mgawane pesa kila mtu afe na chake!, nawajua sana wabongo umoja haujawahi dumu kamwe, lazima watokee wasaliti.
Ndio maana Kuna wanafanikiwa na wanaobaki kuwaita fremason. Wazee wa sababu huwa hawaishi na mstari huo ndioHapo baada ya mda kabla mtaji haujakua kunaanza migogoro na kulazimisha mvunje mkataba mgawane pesa kila mtu afe na chake!, nawajua sana wabongo umoja haujawahi dumu kamwe, lazima watokee wasaliti.
Yote yanawezekana, kujiinua na kuinuana sisiMtoa mada amini kwamba mambo ya kifedha ni personal ishu. Kama uwez kujiinua mwenyewe no one will.
Mwisho wa kunukuu
Endelea kuamini hivyoYote yanawezekana, kujiinua na kuinuana sisi